Unamshangaa "Mlevi" Kuingia Bungeni akiwa Amelewa

Unamshangaa "Mlevi" Kuingia Bungeni akiwa Amelewa

Kuteua Mlevi si kosa. Kosa ni kuwa Mlevi kazini. Ni sawa na wewe kuingia kazini Mapumbu nje na kulaumu aliekuteua kwa kuteua mtu anaeingia ofisin uchi kumbe anajua kuwa una uchi ila hakutegemea kama ungeingia uchi ofisin.


Kitwanga hakufukuzwa kwa
kuwa Mlevi bali kwa kuwa Mlevi bungeni angekutwa kalewa jioni baa isingekuwa kosa



Sasa mkuu habari za pumbu zimeingiaje hapa, ungezungumza tu bila kumtaja pumbu bado tungekuelewa tu



sasa Mbona na wewe umetaja unngezungumza tu bila kutaja kama mimi tungekuelewa

Asanteni nimecheka balaa, huku nikiwa natwanga kitwanga za kutosha.!
 
Mkuu matumaini ya watu wenye akili na professionals ni kuwa MTU anayeteuliwa kuwa waziri ni mtu ambaye has very high level of professionalism.Na huo ndo msingi wa kufanya vetting.sasa kwa kuwa Kitwanga ni rafiki wa mheshimiwa ukiplus na vetting results naamini he was found unprofessional kwa tabia hii ya ulevi wa kutokujitambua na hakupaswa kuteuliwa.ukweli huu ndio ulionifanya niconclude kuwa wewe nawe ni masikini wa akili baada ya kuna utetezi wako
Unachokiandika kwenye CV yako na ukweli halisi wa maisha yako mara nyingi havifanani, hakuna mtu anayeweza kuandika kwenye CV yake kwamba yeye alikuwa mwizi. Maisha ni safari ndefu kadri mtu anavyozidi kukua ndivyo anavyofahamu maisha halisi.
 
Kuteua Mlevi si kosa. Kosa ni kuwa Mlevi kazini. Ni sawa na wewe kuingia kazini Mapumbu nje na kulaumu aliekuteua kwa kuteua mtu anaeingia ofisin uchi kumbe anajua kuwa una uchi ila hakutegemea kama ungeingia uchi ofisin.


Kitwanga hakufukuzwa kwa
kuwa Mlevi bali kwa kuwa Mlevi bungeni angekutwa kalewa jioni baa isingekuwa kosa
Tumia lugha ya staa je wewe na kitwanga unatofauti gani
 
Unachokiandika kwenye CV yako na ukweli halisi wa maisha yako mara nyingi havifanani, hakuna mtu anayeweza kuandika kwenye CV yake kwamba yeye alikuwa mwizi. Maisha ni safari ndefu kadri mtu anavyozidi kukua ndivyo anavyofahamu maisha halisi.
Waziri huteuliwa na mtu anayemfahamu sana haombi kazi kamauvyotaka kutuaminisha
 
Kitwanga katwangwa na Pombe baada ya Kitwanga kutwangwa maswali Bungeni na kujikuta akitwanga majibu yaliyotwangwa na pombe kitendo kilichopelekea Pombe kumtwanga kitwanga. Kwa hiyo, kitwanga ataendelea kutwanga Pombe nje ya utawala wa Pombe. Sasa swali la kujiuliza ni Je, Kitwanga asinge twanga pombe, Pombe angemtwanga kitwanga. Mchokozi hapa ni nani?
M.T.W
Kitwanga bila kutwanga Pombe asingetwangwa talaka na mr Pombe lakini ilibidi atwangwe kwa kisingizio cha pombe ili akipewa cheo kingine waseme kaokoka kaacha kutwanga pombe, anaandaliwa kutwanga Cheo kingine na Pombe pindi wakiwatwanga Watanzania skendo lingine wakasahau, wanafahamu Watanzania ni wepesi wa kusahau hivyo litatwanga sakata lingine kubwa watamsahau Mlevi milele.
 
vipi hawa lizabon,simiyu yetu, jingalao na wakudadavua
Hao wapo Wamejificha Uvunguni nyumbani kwa Lugumi wanaogopa kudaiwa mabilioni na kitwanga ambayo aliwapatia kwa Ajili ya kumtetea kwenye Mitandao.
 
Naona sasa mmeamua kuikamua hii habari mpaka tone la mwisho. Admin wamefanya kazi sana ya kuunganisha hizi nyuzi. Haya endeleeni na adui namba 3 - ulevi kazini. Adui namba 1. Fisadi, namba 2. Wahujumu uchumi kupitia sukari.

Sijui adui wa kweli UJINGA mtampa namba ngapi?
Adui vibali vya Sukari ndiyo Adui mkubwa kuliko wote kwa sasa, mzee wa fursa January Makamba kapenya huko yupo busy kusaka sukari dunia nzima apige 10% kwa waagizaji na viwanda ambavyo vitafanya biashara na Serikali, Adui Ujinga yupo kwa wale woote wanaoamini kuwa utumbuaji Majipu unaenda Vizuri pasipo Mwakyembe na mabehewa feki kuwemo wala Dau wa NSSF na ufisadi wa darajani na miladi mingine ya NSSF, na wengineo akina NIDA, IPTL, ATC , TTCL nk
 
Anaandika Fundi Mkuu,

Unamshangaa "mlevi" kuingia Bungeni akiwa amelewa, badala ya kushangaa tabia ya kuteua walevi kushika madaraka? Kwanini tusimlaumu aliyeteua mlevi badala ya kumlaumu mlevi mwenyewe? Unawezaje kumlaumu dobi kwa kushindwa kutakatisha kaniki wakati tunajua ndio rangi yake? Unawezaje kuilaumu bunduki iliyomuua Mwangosi badala ya kumlaumu Askari aliyehusika? Kumbuka bunduki haiui watu, ila watu ndio wanaua watu. ‪#‎Tafakari‬.!
Hata yule aliyemchongea kitwanga mwenyewe ni Mlevi alijua atapewa Uwaziri lakini sasa kabakia na manung'uniko moyoni huku akisaka mbinu ingine awatoe wale mawaziri mizigo na yeye apenye humohumo.
 
Mteuaji alipata vitwanga kabla ya kuteua.
Mteuaji sasa yupo busy na kutafakari lakini akina January wanapiga Richmond ya sukari akija kushituka atakuta Richmond ya sukari ineiva yakaja yaleyale ya 2007 .
 
Ligumi bado sana..... Huyu magu asiwafanye watu wajinga. Itakula kwake muda sio mrefu.... Yale ya ulevi yalikuwa mazingaombwe tu
Sinema ya kumtoa bungeni arejee Mtaani kuisadia kamati ya Bunge kuzichakachua kumbukumbu zote za infosys na Lugumi waonyeshe kuwa hakuhusika na chochote kile, kisha aje apewe cheo tena kama profesa Muhongo.
 
Kitwanga yupo Gamboshi kaenda kuhiji na Lugumi wakitoka huko watakutana na mkuu wa kitengo cha Uchakachuaji na kamati za Ufundi mzee wa firsa za sukari wapange jinsi ya kuwasahaulisha Watanzania haraka, kitwanga kachoka kitwangwa maswali na Jamii nzima anataka atwange skendo lingine watu wamsahau milele.
 
Back
Top Bottom