Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,473
- 13,629
Waulize wale ma-baby ambao walipewa maneno machache sana na Mlinga wakaishia kupanic.Hivi bungeni sikuhizi ni bar?
Waulize wale ma-baby ambao walipewa maneno machache sana na Mlinga wakaishia kupanic.Hivi bungeni sikuhizi ni bar?
Hivi yale makofi na Omeazomea kule bungeni mnakua meshapiga kitwanga mgapu? Ndio maana macho yanakuwaga mekunduWaulize wale ma-baby ambao walipewa maneno machache sana na Mlinga wakaishia kupanic.
Wewe mwenyewe ni matunda ya ulevi wa uchagani, wala usipoteze muda kuwaongelea wabunge na unywaji wao.Hivi yale makofi na Omeazomea kule bungeni mnakua meshapiga kitwanga mgapu? Ndio maana macho yanakuwaga mekundu
Kumbe ulevi na ccm ni sawa na nyani na ndiziWewe mwenyewe ni matunda ya ulevi wa uchagani, wala usipoteze muda kuwaongelea wabunge na unywaji wao.
Mpaka na Kirobi cha Kitwanga
Hao hao walevi wanawakimbizeni wakati wa uchaguzi mpaka mnapoteana mnaanza kusema mnaibiwa kura.Kumbe ulevi na ccm ni sawa na nyani na ndizi
Mungu ametuepusha na janga la hatari sana. Yule yule waliyemkejeli majukwaani, wakatumia njia ile ile kwa ajili ya kusema sio mchafu!. Halafu wakaunda umoja usiokuwa na upendo ndani yake eti waweze kuiongoza nchi hii....kwa nini msishangae mtu aliyepaswa kuuawa na akina lema wa chadema kwa wizi anapewa nafasi ya kuwa rais wa JMT?
Kuteua Mlevi si kosa. Kosa ni kuwa Mlevi kazini. Ni sawa na wewe kuingia kazini Mapumbu nje na kulaumu aliekuteua kwa kuteua mtu anaeingia ofisin uchi kumbe anajua kuwa una uchi ila hakutegemea kama ungeingia uchi ofisin.
Kitwanga hakufukuzwa kwa
kuwa Mlevi bali kwa kuwa Mlevi bungeni angekutwa kalewa jioni baa isingekuwa kosa
Uzi wa kipuuzi kwelikweli, hujawahi kuona mchungaji anafumaniwa gesti?, ina maana yote anayoyafundisha akiwa madhabahuni hayana mantiki kwa wale wanaomsikiliza?.
Rais anateua malaika wamsaidie kazi au binadamu wenye mema na mabaya?.
Kama huna la kuandika kaa pembeni ya runinga uangalie vipindi vingi tu.
Yapo mambo ya kumsaidia mtanzania kupitia jamii forum, lakini hayafanani na huu utumbo wa thread hii.
Aliyekwambia mimi naona ulevi wakati wa kazi ni kawaida ni nani?. Soma jinsi ambavyo huyo bwana mdogo alivyoiandika hii thread ndio utaelewa ni kwanini nimeandika hivyo nilivyoandika. Elewa jambo kwa undani kabla hujaanza kujifanya mjuaji anayeweza kutukana kila mtu.Mkuu wewe ni wale wale tu masikini wa akili.ika kwenye akili zao kunakosa lilifanyika kwenye uteuzi wa kitwanga.MTU mwenye cheo cha waziri ashindwe kujitambua kiasi cha kuingia kazini akiwa amelewa then wewe unaona ni kawaida tu.
Acha unazi wa Siasa zenu za maji Taka hizo, kosa la Mh Rais Liko wapi? Kwani wote aliowateua ni wasafi sana ? Ndo maana nikaanza na acha siasa zako za maji taka.
Rais kuteua mtu kama Kitwanga si dhambi, ila yule aliyeteuliwa asipojitambua na kutambua wajibu wake hapo ndo shida ilipo.
Watanzania lazima tubadili tabia zetu za kuchukulia jambo kimazoea na nini wajibu na Uwajibikaji.
Kazi kwanza Starehe baada ya kazi
Aliyekwambia mimi naona ulevi wakati wa kazi ni kawaida ni nani?. Soma jinsi ambavyo huyo bwana mdogo alivyoiandika hii thread ndio utaelewa ni kwanini nimeandika hivyo nilivyoandika. Elewa jambo kwa undani kabla hujaanza kujifanya mjuaji anayeweza kutukana kila mtu.
Mbona hueleweki,Anaandika Fundi Mkuu,
Unamshangaa "mlevi" kuingia Bungeni akiwa amelewa, badala ya kushangaa tabia ya kuteua walevi kushika madaraka? Kwanini tusimlaumu aliyeteua mlevi badala ya kumlaumu mlevi mwenyewe? Unawezaje kumlaumu dobi kwa kushindwa kutakatisha kaniki wakati tunajua ndio rangi yake? Unawezaje kuilaumu bunduki iliyomuua Mwangosi badala ya kumlaumu Askari aliyehusika? Kumbuka bunduki haiui watu, ila watu ndio wanaua watu. #Tafakari.!
Tatizo sio ulevi hayo ni maigizo TATIZO ni LINGUMIKitwanga hakufukuzwa kwa
kuwa Mlevi bali kwa kuwa Mlevi bungeni angekutwa kalewa jioni baa isingekuwa kosa
LingumiTatizo sio ulevi hayo ni maigizo TATIZO ni LINGUMI