Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Anaandika Fundi Mkuu,
Unamshangaa "mlevi" kuingia Bungeni akiwa amelewa, badala ya kushangaa tabia ya kuteua walevi kushika madaraka? Kwanini tusimlaumu aliyeteua mlevi badala ya kumlaumu mlevi mwenyewe?
Unawezaje kumlaumu dobi kwa kushindwa kutakatisha kaniki wakati tunajua ndio rangi yake? Unawezaje kuilaumu bunduki iliyomuua Mwangosi badala ya kumlaumu Askari aliyehusika? Kumbuka bunduki haiui watu, ila watu ndio wanaua watu. #Tafakari.!