Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,712
Kwa hizi post zenu naanza kupata jibu.
Pigia na mstari....
Kwa hizi post zenu naanza kupata jibu.
asee tamu balaaaa kuna makonde alinikatia,mmmm tamu balaa waeza pata wazimu atii
Kyenju aisee hapama tukikatika wote itakuwaje?miss chagga njoo huku utupie neno.
mnafungua baikoko
napita tu!!!
Inakua tamu akikuzungushia kulia wewe unamzungushia kushoto,na wala kukata kiuno mwanamme sio ushoga
hua ana kutia ashki flani na mood inaongezeka.
ukirudi uje na jibu
Bora umeliweka sawa, maana nilikuwa na wasi wasi nisije nikachapiwa na akina Papa Mkulu mutoto ya Lubumbashi. Uko poa lakini?
au kanga moko aisee hapana ukute namwli mkubwa katikati ya miguu yangu anipanue na anikatikie tena loh .. si mapaja yatauma sana
Siku hizi wana style mpya wanasema kanga niya nini. Usiogope, mwili wangu umejengwa ukajengeka mwili wa kiume/kazi.
ondoa shaka kuchapiwa labda kama katerero ushindwe..... mimi mzima sana
Mwanaume kukata mauno kwa mkewe ni ushoga??Japo swali halinihusu lakini sidhani kama dada zangu watapenda kuwa na mahusiano na mashoga.