hahaaaaaaa nataka kuhakikisha yaliyomo yamo?? isijekuwa maneno matupu
Unaona sasa... ushaanza kuogopa! Kwanza na mimi ndo nilitaka kushangaa, HOE huyu huyu au kuna mwingine ambae nilishawahi kumuuliza ikiwa sio underage!Na tena seeing is believing lakini kina nacho kimo manake mie mambo ya ku-pushiana kwa juu kuzuiana nisiende mbele zaidi sitaki kabisa kwa sababu kwa desturi, unapoanza lazima upime how deep it's!