Unampenda mwanaume anaeweza kukata viuno?

Unampenda mwanaume anaeweza kukata viuno?

Japo swali halinihusu lakini sidhani kama dada zangu watapenda kuwa na mahusiano na mashoga.

Asante kwa kutusaidia jibu zuri sana, this not acceptable to me haina mshiko bana mtoa mada kata peke yako tu mkatikie eh!
 
Mambo mengine madogo ndo yanasababisa tutiwe na michepuko.. Co kila mkata kiuno ni shoga au mnataka kuchapiwa iendelee kuwa siri ya ndani
 
Ha ha ha ha Huu uzi nahisi utanitoa machozi kwa kicheko, Madame B hivi nikianza
mazoezi leo naweza kumudu, au ndo nitategua kiuno?

Kukata kiuno kuna utaalamu wake baba.
Ila kuna wengine wanataka wajifunzie kukata mauno kwenye mbunye zetu wakati hakuna kitu.
Kama sio mjuzi, kesho yake huamki.
 
Mkuu am a just gym instructor sasa ya PSPF ntayajulia wapi. Ila huyo Madame B ni mchepuko wangu sometym namruhusu atoke kdg

Hahahahaha......ila mie na wewe tunapendana....uwongo?
Najua unanimiss sana, ngoja nirudi Arusha tutajifungia zetu sehemu tunakula raha
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha......ila mie na wewe tunapendana....uwongo?
Najua unanimiss sana, ngoja nirudi Arusha tutajifungia zetu sehemu tunakula raha

Hahahaaa mibuno anaiweza lakini? usije kumtoroka ukaenda kwa mngoni...

Simpatii picha Kapteni Komba...Mola amrehemu huko aliko
 
Muno ? Labda mie mgeni kwenye mapenzi maana mauno ninayoyafahamu mie ni yale ya kwenye Sindimba na miziki ya Nzawise
Zoezi lenyewe mbona huwa ni lakujirudia rudia yaani "kuingiza" na "kutoa" mengine huwa ni mbwembwe tu
Sasa leo tunaambiwa mauno..?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa mibuno anaiweza lakini? usije kumtoroka ukaenda kwa mngoni...

Simpatii picha Kapteni Komba...Mola amrehemu huko aliko

Kim nana, huyu hapa ni mngoni wangu anaitwa Shark, yaani siku nitakuazima ila najua hutamuacha maana balaa.
.....Ila unitunzie siri
 
Last edited by a moderator:
Kim nana, huyu hapa ni mngoni wangu anaitwa Shark, yaani siku nitakuazima ila najua hutamuacha maana balaa.
.....Ila unitunzie siri

Hahahaaa naogopa mwaya, me ligi kuu siiwezi we baki naye tuuu....
 
Last edited by a moderator:
Mcharuko

Nina mwanaume wangu Mngoni...yaani yeye ndo anabaki controller wa kila kitu.Mwanaume ana mauno yuleeeee, wallah hata nikiolewa sitamuacha.
Yaani ananipeleka puta mpaka naishiwa pumzi.

Hapa asipaone Shark

Kwa style hii mi kuoa baadae sanaaa..yani siku hizi mwanamke anaweza kuwa ndani ya ndoa ila still akawa anapasha moto viporo vyake
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom