Unampenda lakini hakupendi

Unampenda lakini hakupendi

Yaani mkuu hicho ndio kinachoendelea kwangu na binti flani hivi ????? Huwezi amini nikimwambia i miss u? au a love u? atakaa aidha nusu saa ndio anijibu au hata asiwasiliane na mm kwa mda . sometimes yupo online either fb au whatsapp na asini cheki? Inaniuma ila na jipya moyo mybe someday to come i might let her go.... Najipaga moyo tu
Face the reality mkuu
Aki kaa kimya na wewe kaa kimya
Tafuta vitu vya kufanya, usiende sehem mlizo kuwa mna pendelea kwenda, jaribu kufuta kumbukumbu zake , meet other girls mkuu kulazimisha pendo ni sawa na kumfundisha hayawani.
Na ubaya huwa tuna jipa moyo et ata rudi chukua hatua
Utasahau tuu kaka
 
Where do i begining ndugu


anza kwa kujiondoa kwenye cycle yake mkuu! Huwezi kusema utamsahau ilhali una namba yake, facebook, sijui unamfolow twitter etc etc...futa delete kabisa!

Halafu hakuna kitu inauma kama kuachwa tena kwa kutamkiwa..na mwanamke????!!! Usithubutu kumpa ushindi huo yani afike mahali akutamkie kuwa sasa Shilingi mbovu mi sikutaki! Utaumia maradufu.

Njia rahisi ni kukata mawasiliano...trust me ni rahisi sana! Usijipe moyo kuwa kuna siku sijui atakurudia ooh kuna siku atakukumbuka...*** it...hata kama atakukumbuka au hatokukumbuka...REMEMBER: YOU ARE DOING THIS FOR YOU!

Ukiwaza sana kufanya ili kumkomoa au simply ukifanya maamuzi with her in mind utajikuta unajiumiza zaidi...LET GO TO GET MORE (the words of my mentor)

Futa delete kabisa...utakuja kutoa mrejesho hapa ndani ya mwezi tu...besides it only takes 30 days to forget!!! sasa kaa ukijiambia nashindwa, mara ooh nitaumia ooh sijui nini...mwanaume????? really?

Yani wewe siku yako yote inazungukia kwake tu? Uko shule? ongeza hobby soma books, join sports, kazini? jipe project mpya..research on it..jipe deadline ya 30 days, there is a lot to do in life kiasi kwamba ukitaka kiukweli kwelii kumsahau mtu it will take you 30 days (research proved!)
 
Face the reality mkuu
Aki kaa kimya na wewe kaa kimya

Hii ni theory ya zamani...

sasa hivi akiamua kukaa kimya, akileta pozi, fanya hivi: FUTA DELETE KABISA hafai hata kuwa rafiki wa kawaida..si lazima uwe na ma contact milioni kwenye simu yako ambayo hayakusaidii mtu hata kuwa rafiki tu kawaida analeta pozi ndo unampa nafasi kwenye mapenzi? I say bull.shit LET GO!!!

Futa delete kabisa....
 
Sometimes unamwambia mtu I MIC U ANAKUJIBU NIPOOO TU AU UMWAMBIA I LOVE U ANAKUJIBU MICHAKATO INASEMAJE

Yaani wewe ni kama mimi ila kwenye mwili mwingine
Au wewe ndo mimi!!!?

Yaaan exactly

Unamwambia mtu "i love you" utakuta "gud nyt nasinzia now"

Au "i miss u" msg haijibiwi hadi kesho utakuta msg ya ghafla tu, "hivi ushaenda job eee!?"

Apo cha kufanya sepa maana ndo anacho subiri ufanye
 
Hahaha
Nakumbukaga nyimbo mbili

Nalivua pendo wa mwasiti
Utanikumbuka wa vumilia

These songs, ni nzuri saana ukipata madhila kama haya

Again I say usiishi kwa kuwaza "atanikumbuka' au 'atarudi tu siku moja'!!!!

Kama hakufai kama rafiki hakufai mara milioni kama mpenzi..so hata akirudi hatokufaa chochote

FUTA DELETE KABISA!!!!!


Huo muda wa kumpenda mtu mwenye mapozi unatoka wapi maisha mafupi hivi jamani au wenzangu mna masaa 26 ya siku!??? DELETE AND LET GO...LET GO usimuwaze wala usimuwazie mabaya..JUST LET GO, FOR YOUR OWN GOOD...DO IT FOR YOU ONLY!
 
DELETE AND LET GO...LET GO usimuwaze wala usimuwazie mabaya..JUST LET GO, FOR YOUR OWN GOOD...DO IT FOR YOU ONLY!
Mkuu siyo hatua ndogo kufanya hivo ila jua nilifanikiwa japo kwa maumivu makali, kama kujivua gamba hivi

Yaan namuelewa jamaa anavo sema ni ngumu
 
Mkuu siyo hatua ndogo kufanya hivo ila jua nilifanikiwa japo kwa maumivu makali, kama kujivua gamba hivi

Yaan namuelewa jamaa anavo sema ni ngumu


Mimi pia naongea from experience. Na ni ngumu kama utasema humtafuti ilhali namba yake bado iko kwenye simu yako...kiubinadamu hiyo ni ngumu mno!!!

FUTA DELETE KABISA..ni proven method of forgetting someone in the shortest time possible!!!
 
Mimi pia naongea from experience. Na ni ngumu kama utasema humtafuti ilhali namba yake bado iko kwenye simu yako...kiubinadamu hiyo ni ngumu mno!!!

FUTA DELETE KABISA..ni proven method of forgetting someone in the shortest time possible!!!
Sawa mkuu nimekupata
FUTA DELETE KABISA

Hahaha thats nice
 
Kwann ujisumbue wakati Dunia nzima Ina wanawake zaidi ya billion 4. Achana nae and go for the other one
 

Yaani wewe ni kama mimi ila kwenye mwili mwingine
Au wewe ndo mimi!!!?

Yaaan exactly

Unamwambia mtu "i love you" utakuta "gud nyt nasinzia now"

Au "i miss u" msg haijibiwi hadi kesho utakuta msg ya ghafla tu, "hivi ushaenda job eee!?"

Apo cha kufanya sepa maana ndo anacho subiri ufanye
poleee
 
Kwann ujisumbue wakati Dunia nzima Ina wanawake zaidi ya billion 4. Achana nae and go for the other one
Yaani mkuu na wewe ndo unakuwa unajiuliza kwa nini iwe hivo!!?
Ila unajikuta hisia ndo zimedondokea kwake sasa ndio maana nikasema inaumiza na kushangaza kwa wakat mmoja
 
Back
Top Bottom