Agent007
Senior Member
- Nov 15, 2015
- 106
- 80
Am not sure because am in a dilemma situation so its complictedKwahiyo bora kipi kwako?
Am not sure because am in a dilemma situation so its complictedKwahiyo bora kipi kwako?
Umegusa asilimia 99.8 ya jf member w humuuHabari wana JF,
Umemtumia mtu text lakini hajakujibu, meseji imepokelewa lakini hajajihangaisha kukujibu. Ukaamua kuiweka simu pembeni kuendelea na mambo mengine baadae unarudi bado unaona kimya hajakujibu.
Lakini ukitizama WhatsApp unaona yuko online busy akichati na kubadili DP na status. Unabaki ukijiuliza ana chat na nani mpaka asizione meseji zako na kuzijibu? Unabaki ukiendelea kujiuliza umemkosea nini?
Unaanza kujiambia kuwa labda amekuchoka. Inauma sana kupuuzwa na mtu umpendae kwa moyo wote. Je unajua kuna uwezekano nae anapitia kipindi kigumu kama hicho? Sawa anaweza akakwambia anakupenda au amekumiss, lakini anae mtu mwingine ambae anampenda haswa.
Unavyohangaika kumpigia, kumtumia meseji na asizijibu nae aweza kuwa anafanyiwa hivyo na ampendae. Anamtumia meseji, anamcall lakini nae simu zake hazipokelewi kama wewe. Nao wanapitia magumu kama wewe!
Kufikia hatua hii, unafikiri kukata tamaa juu ya huyo mtu lakini inakuwa sio rahisi. Unafikiri kumuacha huyo mtu, kumblock hata kum "unfriend" Fb lakini bado unaona moyo wako bado unampenda. Na unamatumaini ipo siku atarudi.
Kila muda unapotaka kuichukua simu yako unaomba Mungu ukute meseji yake lakini ukishika tu simu unakuta meseji ya TIGO wakikukumbusha kulipa deni ulilokopa kwa ajili ya muda wa maongezi.
Unajikuta unaichukia simu yako na unamchukia kila mtu anaye kuongelesha, unatamani uipasue simu vipande vipande. Lakini kwanini ifikie hatua hiyo? Kwa hali kama hiyo inaonesha kabisa wewe hupendwi labisa. Kwanini upoteze muda wako kumpenda mtu asiyekupenda?
Usimlazimishe akupende, wewe sio mzee kiasi kwamba huwezi kupata mtu mwingine. Usijipe stress kwa asiyekupenda kuwa na ujasiri wa kumuacha aende na wewe enenda na maisha yako.
Hata iwe vipi maisha lazima yaendelee.
Pole sanaaa//...Nimewahi kupenda sana na kupendwa mno, nadhani haya mawili yamenipa uzoefu mkubwa sana kimaisha maana kunyanyasika kimapenzi kwa kuwa nampenda mtu, huwa siwezi, hata nikijitahidi vipi kuwa zuzu,nilishashindwa, huwa nazinduka haraka sana mpaka mimi mwenyewe nakereka. Namic yale mapenzi ya upofu, kujiachia kama taahira hivi na kumkabidhi mpenzi moyo wote, wallet na ubongo wote lakini siwezi kabisa.
Duuuh pole hii kitu inaumaga sanaAm not sure because am in a dilemma situation so its complicted
HahahahaHivi kweli mtu hujui kama hupendwi mpk ufanyiwe vituko au ndo love is blind, mpotezee na ww siku akiona umuhimu wako atakutafuta tu
Mkuu go away it will be painfull but worth itThis is my current situation Ila wanawake wakijua wanapendwa hua wanazingua kinoma
Hiii kitu si ya kuiomba ikutokee kwa kweli daaah!!Duuuh pole hii kitu inaumaga sana
ntakupenda sawa lkn nikiona kila siku mm wa kuanza salaam apana kwakweli na mm nachuna najua ntakua naumia sana sbbu nakupenda sana lkn sina jinsi ntazoea tu mpk nakuja kukuona wa kawaida alaf ww sasa ndo unaludi kwa kasiHahahaha
Unajua , sku nyingine humtafuti hata sku mbili ila baadaye we mwenyewe una anza kujichekesha, kwa kweli ukimpenda mtu asiye kupenda ni sawa na kuwa na sindano za masaa.
*ulisha wahi kukutana na mtu the best wey you can say to him/her is i love you, lakini kwake ni the last word she will want you to say!!!?
Hahahaha worst experience kwenye love ndio hiyo
Nomaaa sanaHahahaha
Unajua , sku nyingine humtafuti hata sku mbili ila baadaye we mwenyewe una anza kujichekesha, kwa kweli ukimpenda mtu asiye kupenda ni sawa na kuwa na sindano za masaa.
*ulisha wahi kukutana na mtu the best word unapenda kumwambia is i love you, lakini kwake ni the last word she/he will want you to say!!!?
Hahahaha worst experience kwenye love ndio hiyo
Hahahantakupenda sawa lkn nikiona kila siku mm wa kuanza salaam apana kwakweli na mm nachuna najua ntakua naumia sana sbbu nakupenda sana lkn sina jinsi ntazoea tu mpk nakuja kukuona wa kawaida alaf ww sasa ndo unaludi kwa kasi