Unamkumbuka Ex wako aliyekuwa anasema hawezi kuishi bila wewe? Umejifunza nini sasa akiwa anaishi bila wewe?

Edson Eagle

Member
Apr 20, 2024
28
11
Hivi unamkumbuka vizuri yule ex wako uliyempenda sana nayeye akajifanya anakupenda mpaka akawa anakwambia bila wewe yeye hawezi kuishi huku analia?

Ulijifunza nini baada yakuachana naye halafu ukakutana naye anaishi wakati alisema bila wewe hawezi ishi😂
 
Nilichojifunza ni kwamba
kuna utapeli wa aina nyingi sana duniani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom