unamkumbuka huyu

mamanalia

JF-Expert Member
Nov 7, 2009
666
146
Nixau_2003.jpg unamkumbuka huyu?
 
One actor in "The gods must be crazy"
Kwani kapatwa na maswahiba gani mkuu?
 
Alifariki trh 1 July 2003, Tsumkwe, Namibia, alikozaliwa, kwa ugonjwa kifua kikuu, TB. Aliwacha wtt 6. Hakuwa akijua pesa ni nini, na k/hiyo alipata pesa kidogo alipoigiza ktk The Gods Must Be Crazy. Baadaye alielimishwa khs lengo na thamani ya pesa, na pesa alizopata ktk filamu yake ya pili alizitumia kujenga nyumba ya matofali na kuunganisha umeme na mabomba ya maji.

Chanzo: Wikipedia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom