Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 19,444
- 25,358
Kwa wale wapenzi wa tamthilia bila shaka huyu kijana si mgeni machoni penu ,swali je mnakumbuka?
Kama unamkumbuka embu nitajie ameigiza tamthilia ipi na kama nani?
Je kwa sasa yupo wapi, hivi hana udugu na mkude simba huyu?