Unamjua Mika Chavala? Kijana ambaye bado anaeshikiliwa kwa kesi ya uhaini

Unamjua Mika Chavala? Kijana ambaye bado anaeshikiliwa kwa kesi ya uhaini

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,679
Reaction score
9,839
IMG_20251128_110734.jpg


Tukizungumzia vijana wanaoshikiliwa kwa uhaini wengi wanalifahamu jina la binti strong Niffer.

Lakini kuna huyu mwamba anaitwa Mika Chavala.

Sikuwa namfahamu ila nilim-google baada ya kuona jina lake kwenye media ya kimataifa akitajwa.

Nimekuta profile yake ni kijana hodari, jasiri, mbunifu, mpambanaji , mwelevu, mcha Mungu, anaipenda sana Africa na msomi.

Ana degree ya uchumi kutoka Seoul university.

Ni mjasiriamali.

True son of Africa.

Anaamini katika Africa moja na passport moja.

Hakukaa kimya alipoona nchi inakosa haki, alikemea dhulma bila kuficha ID yake.

Siku ya maandamano ya amani 29-10-2025 aliiomba serikali isimwage damu za raia.

Ukipata nafasi ingia kwenye DM yake Instagram umuandikie neno fupi la ku-appreciate commitment yake kuakikisha Tanzania inakuwa nchi nzuri ya kuishi. Siku akitoka atakutana na ujumbe wako.

History itamkumbuka Mika Chavala
 
Ataenda kuipata access ya kila kitu chake. Inawezekana hauamini ila tarehe 9 Dec tunaenda kurudisha Tanzania yetu ya amani, umoja na upendo.
Wanangu mmebadirika sana.. nilikua nawaona mmekua machawa wa usafini mara domo ndi mara mboosoo mara sijui kafanya nini.. ila sasa hivi ni tofauti kila kijana anaejitambua amegeuka amekua km Nyerere kasoro Mrisho Mpoto, Msechu na Steve Mengele..
 
Wanangu mmebadirikfa sana.. nilikua nawaona mmekua machawa wa usafini mara domo ndi mara mboosoo mara sijui kafanya nini.. ila sasa hivi ni tofauti kila kijana anaejitambua amegeuka amekua km Nyerere kasoro Mrisho Mpoto, Msechu na Steve Mengele..


Wale ng'ombe wengine wamefeli kusoma halama za nyakati. Kama mzee mzima AY kajitia aibu bure sijui sasa hivi yuko wapi?
 
Back
Top Bottom