Unamiliki nini katika Umri huu?

Nina miaka 88,nina miliki nyumba moja ya matope na nyasi,kuku kumi wa kienyeji,shamba la heka sita na na sikumbuki nina watoto na wajukuu wangapi.
 
Miaka 25-40 unakaa kwenu huta hata godoro halaf unajichetua kuwa unataka mahusiano na mtu chefuuuuuuuuu kwa bbc haina dili, mambo yote abroad mambo ya usd shilling peleka gengeni huko
Mbona ka halihusiani na hili au nimesoma vibaya, hii inatakiwa iwe uzi unaojitegemea
 
Haaaa mke tena uongeze shsurina na bi mkubwa kwanza
 
Ubarikiwe
 
JF huwa patamu sana,kila mtu huwa ana pesa,viwanja, nyumba ,mke mzuri na elimu yake nzuri tu na kajiajiri ....Anyways mimi namiliki simu Tecno tu
 
Kumbe Jeiefu wengi ni bongo lala...yaani mtu anamiliki liabilities kibao eti naye anakuja kujitapa humu?
Wanao miliki assets ni wachache sana wallahi
 
[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…