Unamiliki nini katika Umri huu?

Dah.... Masikini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bodaboda na simu ya tecno [emoji23]
 
.....Ndio Maana Nguli wetu Ally Choki aliimba:
..Ukitaka kujua Password yake ya email atakupa hata ukitaka ya Benki, lakini kamwe hawezi kukupa Password ya Maisha yake!!....[emoji16][emoji16]
 
Hongera sana umefanya jambo la kawaida kabisa la basic need
 
Mkuu ni ya kweli haya?
 

Daah [emoji119][emoji119][emoji119][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
i hope happa umeandka utani maana ukipiga hesabu hao wanao jumlisha na ndugu jumla nyumba iko na watu 20+.
 
vp ushaileta? kama ndio,uliweka ktk jukwaa lipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…