kallenge
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 350
- 321
Kama wana pesa kwanini wana shindwa kujitegemea, wanakaa kwa mjomba, shangazi mala shemeji pesa yao kazi yake ni kununua iPhoneKwahiyo ndege na maji, bora ndege? Unajua amenunua iPhone kwa matumizi gani?
Inabidi utafute mume uwe unampangie matumizi yake
Pole sana.
Mbona una hasira sana kwenye pesa za watu. Kuwa shouger ili upate pesa
Watu watafute pesa kwa jasho lao halafu uwapangie matumizi.