Unamiliki iPhone ya macho matatu wakati hata kiwanja huna, wewe ni bure tu

Kwahiyo ndege na maji, bora ndege? Unajua amenunua iPhone kwa matumizi gani?
Inabidi utafute mume uwe unampangie matumizi yake
Pole sana.
Mbona una hasira sana kwenye pesa za watu. Kuwa shouger ili upate pesa
Watu watafute pesa kwa jasho lao halafu uwapangie matumizi.
Kama wana pesa kwanini wana shindwa kujitegemea, wanakaa kwa mjomba, shangazi mala shemeji pesa yao kazi yake ni kununua iPhone
 
Akikaa kwa mjomba wake. Wewe inakuuma nini? Unashindwa kufanya kazi zako?
Ukifuatilia maisha ya watu, mwisho wa siku lazima uwe mchawi tu. Kuwa busy na maisha yako kwasbb hiyo wala haikuathiri.
Ushajiuliza, mbona ww haukai kwa mjomba wako lkn mpk hapo haujafikisha hata bilioni 1 bank?
Kama wana pesa kwanini wana shindwa kujitegemea, wanakaa kwa mjomba, shangazi mala shemeji pesa yao kazi yake ni kununua iPhone
 
Back
Top Bottom