unamfahamu yeyote ambaye ni jf member?

Status
Not open for further replies.
kumbe tupo wengi,hata mimi najijua mwenyewe tu!halafu nadhani wewe ni wa kwetu,brazilia!fabinyo/husninyo,lol

hahahaha, kweli aisee. nilikuwa sijanote hicho kitu. inabidi tufahamiane usikute sisi ndugu.
 
hahahaha, kweli aisee. nilikuwa sijanote hicho kitu. inabidi tufahamiane usikute sisi ndugu.
umeona ehh?inshaalaah,tuombe uzima!ngoja tuulizie wazazi zetu wapi waliko pita pita wakati wa ujana wao
 
Is that a compliment? Hahaha,take it easy fabinyo! Maisha yenyewe yako wapi, achana na kujuana na watu wasiokupa ugali. Kujuana humu,kucheka na kushauriana ndo mpango kamili!lol
duh,majibu yako huwa nayapenda sana,kama mtu wa hasira unaweza pasuka,hahahaaa!!poa poa king'asti wetu,usijali sintokufahamu!asante
 
Unatengeneza picha tu, mi nilishangaa baba mkwe nae member humu aliniuliza kama naifahamu JF nikamwambia wala


kwanini ulikataa?? uskute baba mkwe wako anatumia MWITA25, ATIMW52 au MBWA hahahah mwita sijui aliwaza nini kujiita MBWA kila nikiwaza nacheka
 
Naamin kuna wanafahamiana sana tu humu na huwa wanatoka jf wanakutana bar na kuanzisha kujadili yaliyomo jf na kuna wengine wanaambizana kupost issue hapa wanapeana hints ila kwa upande wangu kuna watu nawafahamu humu ila ni kwa kuwasika na kuwaona kwenye tv na mikutano si kwa kuonana na kuongea pamoja mfano John Mnyika, Dr Slaa, Nape n.k
 
Tupo tunaofahamiana lakini wengine maandishi ya kuonyesha kufahamiana ni zuga tu
 
mi nakusubiria tu ukate shauri.siku hiyo uje na mdogo wako Bebii.
 
Cholera,kuwafahamu in person ni tofauti na kuwaona kwenye tv. Au tunaongelea taswira kama avatar?matatizo nnayo mengu tu ya kunitosha,na yanaongezea chachu ya maisha,lol

kama humfahamu zitto,slaa,kitila mkumbo na nape utakuwa una matatizo!!!
 
Umeona eeh!ukitaka kujuana sana na watu icheki facebook uone hadi picha!jf ni stori,shouts na kufurahi!
 
Halafu members wengi wanaofahamiana ni wa jukwa la MMU na MAMBO YA WAKUBWA
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…