Unamfahamu huyu?

Unamfahamu huyu?

Uje uthibitishe kama wewe ni Mtanzania. Uje uhamiaji iliyo karibu nawe. Lete cheti chako cha kuzaliwa,cha mama,cha baba,cha babu mzaa mama. Bado sijamaliza. Cha babu mzaa baba. Cha babu wa huyo babu. Bado sijamaliza. Cha bibi yake shangazi wa babu. Cha mababu wote wawili ila kiwe kimoja kwa pamoja. Ukishindwa kuthibitisha hilo,kesi yako itakuwa utakatishaji wa fedha kupitia mpaka wa south Africa,kutokea Mozambique,kurudi mpaka hapa Zimbabwe. Huku Namibia ulitakatisha kidogo,hizo hatutaki. Kuja mpaka zambia kuja kuibukia tunduma. Hizo fedha tupia m pesa
 
Serikali ilishaona hali kule sio shwari ndio maana mpaka sasa ndege zetu bado haziruhusiwi kwenda SA...
 
Hujatembea bado, ukifika Scotland utavaa mpaka sketi.
Are you sure, si kila kitu ni cha kuiga. Nakumbuka enzi hizo nikiwa skuli niliishi na marafiki zangu ambao ni wavutaji wazuri wa ganja na ilikuwa kila Kona. Kumbuka nchi hiyo kuna gram mtu unaruhusiwa kuwa nayo. Sijui jaribu Na naomba kwa unyenyekevu mkubwa nikutaarifu kuwa tangu nizaliwe mimi ni non smoker smoker yaani sijawahi kuweka mdomoni sigara ingawa huwa naivuta wakati nikivuta hewa ambayo inakuwa na moshi wa sigara kama ilivyo tunapovuta moshi wa gari
 
Wazulu huwa hawajeruhi, wanajuwa kuitumia 9mm kiufasaha, risasi zao huwa wanapiga moyo au kichwani, na kama ni shambulio la visu vyao vya Okapi wanapiga nyumba ya shingo kwenye mishipa ya nervous.
Oooohh[emoji22][emoji22]
 
Wazulu huwa hawajeruhi, wanajuwa kuitumia 9mm kiufasaha, risasi zao huwa wanapiga moyo au kichwani, na kama ni shambulio la visu vyao vya Okapi wanapiga nyumba ya shingo kwenye mishipa ya nervous.
duh!!!haya maelezo yanaogopesha.
 
*TUMSIFU YESU KRISTO*. Uongozi wa TMCS-DIT unasikitika kutangaza kuwa; Mwana-TMCS mwenzetu *EFRAIM MABENA* amefiwa na kaka yake mpendwa *EVANCE MABENA* usiku wa kuamkia jana jumanne.[emoji24][emoji24]

Taarifa zinasema kuwa EVANCE alikuwa akiishi South Africa tangu mwezi march 2017.
Kifo kilimkuta baada ya kunyang'anywa gari na pesa alizokuwa nazo kisha akapigwa risasi.[emoji24][emoji24]
Tunaombwa kumwombea mwenzetu katika kipindi hiki kigumu
Na pia tuiombee roho ya marehemu, Mwenyezi Mungu aipokee katika nuru ya uso wake.AMINA
Msiba upo nyumbani kwao *BUGURUNI-DAR ES SALAAM.*
_tutaendelea kutoa taarifa zaidi_

*Raha ya milele umpe Ee Bwana; na mwanga wa milele uwaangazie Marehemu wote wapumzike kwa Amani. AMINA*
kwa niaba ya uongozi wa TMCS-DIT
imetolewa na John Alex
_katibu_

Nimeinukuu taarifa hii kutoka kwenye group moja la wanafunzi DIT. Ndugu wamarehemu wameshapatikana shukrani kwa muanzisha uzi huu na kupelekea kupatikana kwa ndugu wa marehemu.
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mungu ni mwema wakati wote
 
Wakuu naomben konekishen ya sauzi,nipo Uganda now but napenda nihamie south,vip kadigiri kangu ka maabara kataweza kuniweka mjin huko souz?
 
Wakuu naomben konekishen ya sauzi,nipo Uganda now but napenda nihamie south,vip kadigiri kangu ka maabara kataweza kuniweka mjin huko souz?
Hats ungekuwa na degree gani huwezi kuajiliwa kazi professional mpaka itangazwe gazetini miezi 6 ikose MTU ndio uchukuliwe mgeni. Kwa kifupi sahau hilo.

Wageni wanaofanya kazi professional pale wamechukuliwa kutokea nchi zao, mfano Mwamvita Makamba na Vodacom yake na makampuni yote international ambayo mfanyakazi anaweza kupangiwa nchi yoyote head office au branch yoyote nchi yoyote zilipo office za kampuni husika.
 
Back
Top Bottom