
Nasikia mkifika huko mnachukua mademu zaoIla south katumalizia watanzania sio siri duh nchi ya ovyo sana kiusalama duh! kuna kipindi nilikuwa nasoma kule yaani nikujifungia tu ndani ukitoka class hakuna raha yeyote wabongo nilioshudia wakiuwawa nikiwa kule sio chini ya 5 ndani ya miaka 3 niliyokaa kule.
Angalia kijana alivyomdogo duh kuna haja ya kuangalia mahusiano yetu na south kidiplomasia.

Hii sura sio ngeni sijui nimeiona wap aiseee
Wabongo wengi walio South Africa ni wezi , nimewasaidia hadi nimechokaHuyu kijana amepigwa risasi leo hii huko South Africa anaitwa Evance Mdemu. Tujitahidi kusambaza taarifa hii.... View attachment 1261445
Itakuwa ulimuona kwenye mikutano ya malemaHii sura sio ngeni sijui nimeiona wap aiseee
Huyu kijana amepigwa risasi leo hii huko South Africa anaitwa Evance Mdemu. Tujitahidi kusambaza taarifa hii.... View attachment 1261445
Hii sura sio ngeni sijui nimeiona wap aiseee