Unamfahamu huyu?

Unamfahamu huyu?

Ila south katumalizia watanzania sio siri duh nchi ya ovyo sana kiusalama duh! kuna kipindi nilikuwa nasoma kule yaani nikujifungia tu ndani ukitoka class hakuna raha yeyote wabongo nilioshudia wakiuwawa nikiwa kule sio chini ya 5 ndani ya miaka 3 niliyokaa kule.

Angalia kijana alivyomdogo duh kuna haja ya kuangalia mahusiano yetu na south kidiplomasia.

Usikute alomchapa ni mswahili mwenzake.
 
changamoto ni endapo aliingilia katika mahusiano ya kimapenzi na wenyejiii ama alifanya jambo la kiuhalifuuu, ama alikuwa na marafiki waliokuwa wakifanya uhalifu wa aina yeyoteee....ama kwenda 9ty clubs zisizokuwa na usimamizi...amam...amaaaa
hhii.jpg
 
Back
Top Bottom