Unamfahamu huyu?

Unamfahamu huyu?

Ni kweli waliona isije ndege za SA zikagonga ndege zetu bure maana waSA wamekaa kisharishari sana.
Serikali ilishaona hali kule sio shwari ndio maana mpaka sasa ndege zetu bado haziruhusiwi kwenda SA...
 
Hats ungekuwa na degree gani huwezi kuajiliwa kazi professional mpaka itangazwe gazetini miezi 6 ikose MTU ndio uchukuliwe mgeni. Kwa kifupi sahau hilo.

Wageni wanaofanya kazi professional pale wamechukuliwa kutokea nchi zao, mfano Mwamvita Makamba na Vodacom yake na makampuni yote international ambayo mfanyakazi anaweza kupangiwa nchi yoyote head office au branch yoyote nchi yoyote zilipo office za kampuni husika.
Dash kumbe ! Kwahiyo itabidi nitafute job kwenye mashirika kwanza?
 
Hayo maelezo ni fact bila chenga, nimekaa na wale jamaa nawajuwa vizuri.

Nyuma ya shingo kuna mishipa very sensitive, kikigusa kisu tu umekwisha.
Yani walivyo sasa,hata awe anakuzidi nguvu Mara mia,haweze pigana nawewe bila kisu
 
Ha ha ha ha mkuu nimecheka sana....huyu dogo kiukweli Sura sio ngeni ila tu kumbukmbu zinakataa yahn ila sura inakuja kabisa yhn
Kuna ile nadharia ya ukifa bongo unazaliwa sehemu nyinge. Pengine kabla hujazaliwa hapa alikuwa jrani yako hata huko Djibout mkuu
 
Kuna jamaa juzi kati wameingia ndani wakampiga nyundo kichwani akiwa amelala,sijui wameshamzika!!!?
 
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji116][emoji116]
Kuna jamaa juzi kati wameingia ndani wakampiga nyundo kichwani akiwa amelala,sijui wameshamzika!!!?
 
Afu bado kuna vijana wajinga kabisa wanaendelea kwenda huko wakati hawana pa kufikia wala wanaefaham huko
 
Afu bado kuna vijana wajinga kabisa wanaendelea kwenda huko wakati hawana pa kufikia wala wanaefaham huko
Tema mate chini, shukuru Mungu kama maisha yako yana unafuu, Bongo ni Jehenamu ndogo.

Pamoja na risk zote hizo lakini South Africa kuna maisha standard anayostahili binadamu kuishi.

Kula na kunywa siyo issue kwa wenzetu wakati bongo bado ni mtihani.
 
Wazulu huwa hawajeruhi, wanajuwa kuitumia 9mm kiufasaha, risasi zao huwa wanapiga moyo au kichwani, na kama ni shambulio la visu vyao vya Okapi wanapiga nyumba ya shingo kwenye mishipa ya nervous.
Kweli kaka yangu mwaka jana alipigwa kisu cha shingo huko South
 
Huyu kijana naskia anaitwa Evans Mdemu
FB_IMG_1573720215630.jpg
View attachment 1262853
 
Back
Top Bottom