Siku za ajabu
JF-Expert Member
- Dec 23, 2012
- 1,369
- 988
Chanzo nini? Hilo jina mmelipata kwenye kitambulisho chake? Kiwekeni hapaHuyu kijana amepigwa risasi leo hii huko South Africa anaitwa Evance Mdemu. Tujitahidi kusambaza taarifa hii.... View attachment 1261445
Si Mimi, unanifananisha.Wewe si ulikuwa pamoja nae mtu huyu?
Kwy video ya diamond yupo huyoHii sura sio ngeni sijui nimeiona wap aiseee
Ittakuwa ulimwona TANANGOZI pale IringaHii sura sio ngeni sijui nimeiona wap aiseee
Mbwa wewe chuki dhidi ya WachagaAngeitwa Temu au Masawe siajabu usingeandika ulivyoandika, usihukumu bila ya kujua, haujui kwa nini kapigwa na risasi.
Dooo pole yake wabena mukuje mukujeHuyu kijana amepigwa risasi leo hii huko South Africa anaitwa Evance Mdemu. Tujitahidi kusambaza taarifa hii.... View attachment 1261445
Na kujimwambafaiNasikia mkifika huko mnachukua mademu zao
Ittakuwa ulimwona TANANGOZI pale Iringa




mkuu Tanangozi paheshimiwe kbsa, Tanangozi sehemu yetu ya kula mishkaki iliyononaUkabila utakusaidia nini ?Angeitwa Temu au Masawe siajabu usingeandika ulivyoandika, usihukumu bila ya kujua, haujui kwa nini kapigwa na risasi.
Itakuwa ulimuona kwenye mikutano ya malema