Huyu jamaa ni mtenda kazi shupavu kabisa
kwa taarifa tulizo ni kwamba amejiingiza kwenye 18 za watu,,kwi kwi kwi,,,,,,,,,,,,,,,,,,
hapa tunasubiri dakika tu,,ndio tujue Mwenye Mungu Muumba wa Mbingu na Dunia siyo ASUMANI!!!!!!!!!!!!!!!!
Mungu sikia vilio vya watu hawa, hebu fanya manuva mtume israel afanye kazi yake fasta, ikiwezekana leo tubadili story.
Huyu jamaa ni mtenda kazi shupavu kabisa
kwa taarifa tulizo ni kwamba amejiingiza kwenye 18 za watu,,kwi kwi kwi,,,,,,,,,,,,,,,,,,
hapa tunasubiri dakika tu,,ndio tujue Mwenyenzi Mungu Muumba wa Mbingu na Dunia siyo ASUMANI!!!!!!!!!!!!!!!!

wewe uliyeandika ndiyo utamfahamu DCI Manumba atakapopona, subiri tu. siyo vizuri kabisa kumuombea mwenzio kifo.
Mungu ni mwema na atapona haraka sana ili aendelee na kazi. hamna cha uchawi ila ni malaria tu. kwani nani hajawahi ugua?
Niwe mkweli tu nitafurahia sana aki.... maana alikuwa anafurahia na kupotosha watu katika sakata la kupigwa sumu Mwakyembe
Uwe na moyo wa kusamehe,get well soon