unamchukuliaje mtu mwenye dread kichwani…?!!

Unamchukuliaje mwenye dread kama muhuni wakati waliopo magereza wana vipara?

Hao wanaoshinda kanisani ambao mnawaona wanaheshima ndy wapuuzi huku mtaani.

Huwezi muexplain mtu kisa hairstyles ifikie mahali hii kasumbaa muiache kama ulivoacha kusikiliza msondo ngoma sahivi mnamsikiliza Bieber na lil pump (mzee wa fvnckg fvnckng).
 
salute comrades ,

kama mada tajwa hapo juu baadhi ya watu wamekuwa na mitazamo tofauti juuView attachment 2049403
ya watu walio na dread kichwani au marasta kwa lugha nyingine…vijana wengi now days wameifanya hali hii kama lifestyle. kwa mtizamo wako aina hii ya hairstyle unaichukulia vp hasa ukionana ama kukutana na mtu wa aina hii????View attachment 2049404
Hizo s dreadlocks aseee, n wamesuka mavitu kichwani.
 
Picha uliyoweka ina wanaume wenye heleni pia hujaona?

Yani ni sawa uje na hoja uulize "ni sahihi mtu kujikojolea" halafu uka ambatanisha na picha ya mtu ambaye kajikojolea na kajinyea pia, halafu ukawa unataka watu wajikite kuujadili mkojo

Hapo watu lazima wapate mashaka ina maana kwako swala la mtu kujinyea unalichukulia fresh tu?
koment yako nmeipenda 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sasa ukute hizo dread ni chafuu yan zimekua nyekundu alaf ndio bodaboda huyo,, kavaa kinjunga cha jinsi ukikisimamisha kinasimam aseee boda yake ina mlio kam chopper mbov alf anaendesha amekaa tako moja speed 120,,,

hicho ni kiwango kikubwa sana cha uhuni na kuporomoka kwa maadili.
 
Kuna mfano niliuweka hapo mwanzo naomba niutumie na hapa

Mleta mada angeanzisha mada yenye kichwa cha habari kinachosema "unamchukuliaje mtu aliyejikojelea mikojo"

Mpaka hapa hii habari inakua kwenye category ya "ustaarabu"

Halafu kunogesha habari, mtoa mada akaambatanisha na picha ambayo inaonesha mtu kajikojolea lakini pia kajinyea

Moja ya wadau akahoji kwanini mtu huyo amejinyea na hauja sema chochote kuhusu kitendo hicho je ina maana kwako wewe mtu akijinyea sio big issue?

Bila shaka swali litakua ni valid kwasababu lipo katika category moja kuzungumzia "ustaarabu"

Nikija sasa kwenye hoja kuu ya mdau, kwenye ishu ya dread na kwa namna alivyo li-represent ni kama anawaona watu wa namna hiyo ni watu wa ajabu "kimaadili"

Lakini hapo hapo kupitia picha yake, kimaadili imekaaje kwa mwanaume kuvaa heleni?

Kwasababu ishu ya dread unaweza kuitetea kwa hoja nzuri ambazo zikakubalika kimaadili. Tuna watu mitaani wanaimani ya kirastafarian hawa katika dini yao ni lazima kufuga nywele

Unapotaka kumtetea mwanaume anayevaa heleni utatumia hoja gani ambayo itakua supported na kimaadili?
Punguza ubishi..
Kiufupi umezingua..habari za hereni anzisha uzi.
Unaleta utoto
 
Siku hizi vijana wanataka kuwa kama mabinti ndio maana wanaweka dred wanatoboa maskio



Huko mtaani maskani akija kijana kasuka dred mtimueni akikataa kuondoka mtieni kidole
 
Kama ni Rastafarian kama Bob haina kwere ni tamaduni

1639676052775.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom