unamchukuliaje mtu mwenye dread kichwani…?!!

Saloon wanajaa hawa, ukienda unasubiri foleni. Wanajua mpaka nywele za kuongeza. Kuna expression, Afro Kinky, human hair nk

hair dread ni vyema kwa kijana na mtu mwenye nazo unamchukuliaje madame???
 
hii ndio JF ya 2021 yaani unaliza kuhusu jambo hili hujibiwi ila baadae unaletewa maelezo nje ya uzi kabisa
 
mkuu nimeuliza kuhusu dreads na sio heleni
Picha uliyoweka ina wanaume wenye heleni pia hujaona?

Yani ni sawa uje na hoja uulize "ni sahihi mtu kujikojolea" halafu uka ambatanisha na picha ya mtu ambaye kajikojolea na kajinyea pia, halafu ukawa unataka watu wajikite kuujadili mkojo

Hapo watu lazima wapate mashaka ina maana kwako swala la mtu kujinyea unalichukulia fresh tu?
 
ni lifestyle wala sioni shida kwangu!!
 
Unafatilia kesi ya mbowe?

Hukuona kesi ndogo iliyoanzishwa katikati ya kesi kubwa?
Pale mahakamani wanajenga hoja ili kupata mshindi. Hapa tunajenga hoja ili kujenga. Hakukuwa na sababu ya kutaka kubadilisha uelekeo wa uzi kutoka dreads kwenda heleni, wakati una uwezo wa kuanzisha bure uzi wa hereni
 
Kuna mfano niliuweka hapo mwanzo naomba niutumie na hapa

Mleta mada angeanzisha mada yenye kichwa cha habari kinachosema "unamchukuliaje mtu aliyejikojelea mikojo"

Mpaka hapa hii habari inakua kwenye category ya "ustaarabu"

Halafu kunogesha habari, mtoa mada akaambatanisha na picha ambayo inaonesha mtu kajikojolea lakini pia kajinyea

Moja ya wadau akahoji kwanini mtu huyo amejinyea na hauja sema chochote kuhusu kitendo hicho je ina maana kwako wewe mtu akijinyea sio big issue?

Bila shaka swali litakua ni valid kwasababu lipo katika category moja kuzungumzia "ustaarabu"

Nikija sasa kwenye hoja kuu ya mdau, kwenye ishu ya dread na kwa namna alivyo li-represent ni kama anawaona watu wa namna hiyo ni watu wa ajabu "kimaadili"

Lakini hapo hapo kupitia picha yake, kimaadili imekaaje kwa mwanaume kuvaa heleni?

Kwasababu ishu ya dread unaweza kuitetea kwa hoja nzuri ambazo zikakubalika kimaadili. Tuna watu mitaani wanaimani ya kirastafarian hawa katika dini yao ni lazima kufuga nywele

Unapotaka kumtetea mwanaume anayevaa heleni utatumia hoja gani ambayo itakua supported na kimaadili?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom