Iringa yanaitwa mafrahisha.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Mkorintho hujamalizia hilo jina!🙂Iringa yanaitwa mafrahisha.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Limefanana na alovera
Singida yapo twayaita matini
Farhina tofauti kabisa na alovera hilo unaloliona ni tunda, kanda ya ziwa wanaita masikio ya tembo na kwa kiswahili yanaitwa mafurahisha ******
We tukana tu