Kamata au seng'enge
Kwa nini linaitwa mafurahisha mk**du?
Mimi mwenyewe sielewi kwanini. Yaani connection ya kula lile tunda na kufurahishwa mk.....u.Ila hili jina ni la huko Iringa tuu nadhani.Mikoa mingine wanatumia majina mengine
![]()
Natunda sio maembe tu na machungwa hii kitu ni tamu sana!
Mafurahisha mku****
kadakokigondile fakhina jina lake lenyeywe tusi,
Mkuu ukila mengi, au ambayo hayajaiva vinzuri, haja kubwa utaipata kwa kuchokonolewa na fimbo ama mku*** kuchanika.

Aiseeeee