mitishamba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 697
- 111
- Thread starter
- #21
sasa hapo unakuwa umeilekezea dirishani kupunga upepo au?Miguu huwa imeachana, kwani vipi MS?
sasa hapo unakuwa umeilekezea dirishani kupunga upepo au?Miguu huwa imeachana, kwani vipi MS?
naisubiria, ila ningependa mi ndo niwe mpigaji wa hiyo picha.Hhmmm haya.
Ngoja nilale. . . ntakutumia picha baadae uone nnavyolala.
Ni nani? Ana nini?Humjui huyoo.??
sasa hapo unakuwa umeilekezea dirishani kupunga upepo au?
wakati wa matukio maalum au ..?Mie nalala miguu chini kichwa juu
Akchwali nasimama kitandani
hadi uamke unakuwa umelala staili ngapi?Usingizi hauna adabu!!!huwezi kulala style 1 tu.
kama unakaa uswazi hiyo ni hatari kubwa sana.Ewaaaaaaa, ulijuaje? Ndo manake
Mie nalala miguu chini kichwa juu
Akchwali nasimama kitandani
mkuu pole kwa ban.
uankumbuka siku ile nilikwambia usibishane na rashian raulette atakupeleka korokoroni ukadai eti unazifahamu sheria za jf vizuri.
sasa unaona kilichokupata?
ungesikiliza ushauri wangu yasingekupa yaliyokupata. lakini hata mimi pia yalinikuta hayo, kisa nimebishana na RR
Mbaya zaidi analazimisha wachezaji na wengine na mashabiki wote kumshabikia mchezaji anayemtaka yeye. Sijawahi ona hii kitu ila kwa jf tu. hawa ndo watakaoua jf.Nimeshamuadd kwenye Ignore list yangu kwahiyo sitalajii kuonana nae for my entire life. haiwezekeni mtu awe refa yeye halafu anataka na yeye acheze humo humo!
kama unakaa uswazi hiyo ni hatari kubwa sana.
halaf hiyo staili huwa uko peke yako au?Uzuri sikai uswazi mkuu, basi tu stail yangu, lakini staili hii ni zaidi ya kulala usingizi.
halaf hiyo staili huwa uko peke yako au?
naisubiria, ila ningependa mi ndo niwe mpigaji wa hiyo picha.
tumia hata sim tu.Aiseee. . .kumbe kamera ilikua haina chaji.
tumia hata sim tu.