Sitarudia tena kulala chali baada ya haya mauzauza

Psalm 103

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2026
Posts
1,657
Reaction score
2,717
Hii ni zaidi ya mara 5 mpaka sasa, kila nikilala chali.

Mara ya kwanza ilinitokea usiku around saa tisa wakati nimelala nikadhani labda ndoto, nikahisi kichwa kimekuwa kizito mpaka kinauvuta mwili wote kuelekea chini, nikashituka that moment nikahisi kizunguzungu na degedege nikapoteza balance ya mwili. Baada ya kama sekunde 5 au 3 ndio nikawa sawa.

Nikalala ubavu maana sikuweka moto kichwani nililala kichwa kimeinama kwa nyuma.

Siku nyingine tena ikawa the same baada ya kushituka nikahisi labda ndoto tu, nikalala tena chali hata dk 5 bado ikajiludia tena hiyo hali, eh!

Nikahisi huenda kuna tubibi tunanichezea ikabidi ni sali, nikalala kwa ubavu. Safari hii mambo ya kawa safiii.

Vp wewe umeshakutana na hiyo hali? Au brain yangu ina matatizo maana hua nahisi kichwa kizito nikilala chali.
 
Hii ni zaidi ya mara 5 mpaka sasa, kila nikilala chali. Mara ya kwanza ilinitokea usiku around saa tisa wakati nimelala nikadhani labda ndoto, nikahisi kichwa kimekuwa kizito mpaka kinauvuta mwili wote kuelekea chini, nikashituka that moment nikahisi kizunguzungu na degedege nikapoteza balance ya mwili. Baada ya kama sekunde 5 au 3 ndio nikawa sawa. Nikalala ubavu maana sikuweka moto kichwani nililala kichwa kimeinama kwa nyuma. Siku nyingine tena ikawa the same baada ya kushituka nikahisi labda ndoto tu, nikalala tena chali hata dk 5 bado ikajiludia tena hiyo hali, eh! Nikahisi huenda kuna tubibi tunanichezea ikabidi ni sali, nikalala kwa ubavu. Safari hii mambo ya kawa safiii...
Vp wewe umeshakutana na hiyo hali? Au brain yangu ina matatizo maana hua nahisi kichwa kizito nikilala chali.
hakuna bibi. acha kulala chali huku bichwa lako kubwa likining'inia.
 
Unapolala chali, uzito wa ulimi na taya unaweza kushuka nyuma kidogo na kufanya hewa ipite kwa shida zaidi.

Ubongo wako hugundua mabadiliko hayo hata kama hauamki kabisa.
Wakati huo huo, unapokuwa kwenye usingizi wa REM (kipindi ambacho ndoto nyingi hutokea), ubongo huwa unaendelea kufanya kazi kwa nguvu, lakini mwili unakuwa umepooza kwa muda ili usifanye vitendo unavyoota.( sleeping paralysis).

Ikiwa unapumua kwa shida kidogo au ubongo unaanza kuamka wakati huo,
ubongo huchukua hisia za mwili na kuzigeuza kuwa sehemu ya ndoto.

Ukihisi hewa haitoshi, unaweza kuota unazama au unakabwa.

Ukihisi mwili hauwezi kusogea, unaweza kuota umefungwa au kuna kitu kinakubana.

Ndoto hizo huwa zinaonekana halisi sana kwa sababu ubongo uko karibu na hali ya kuamka.

Hali hii hutokea kwa baadhi ya watu na sio wote.
 
Ubongo wako hugundua mabadiliko hayo hata kama huamki kabisa.
Wakati huo huo, unapokuwa kwenye usingizi wa REM (kipindi ambacho ndoto nyingi hutokea), ubongo huwa unaendelea kufanya kazi kwa nguvu, lakini mwili unakuwa umepooza kwa muda ili usifanye vitendo unavyoota.( sleeping paralysis).

Ikiwa unapumua kwa shida kidogo au ubongo unaanza kuamka wakati huo,
Ubongo huchukua hisia za mwili na kuzigeuza kuwa sehemu ya ndoto.

Ukihisi hewa haitoshi, unaweza kuota unazama au unakabwa.

Ukihisi mwili hauwezi kusogea, unaweza kuota umefungwa au kuna kitu kinakubana.

Ndoto hizo huwa zinaonekana halisi sana kwa sababu ubongo uko karibu na hali ya kuamka.

Hali hii hutokea kwa baadhi ya watu na sio wote.
Ilmu murua kabisa. Asante sana kwa elimu hii.
 
Mtume Muhammad (pbuh) ametufundisha kuwa tukitaka kulala tunawe udhu kisha ulalie ubavu wa kulia.

Mwili wa mwanadamu huwa una njia (channels) na Majini (spirits) hususani mashetani (devils/ demons) huingia miili kupitia hizi njia na kumchezea mwanadamu.

Wudhu (udhu) kwa sisi waislam ni silaha kali dhidi ya mashetani wa kijini. Shetani hawezi kuingia mwili wenye wudhu.
 
Unapolala chali, uzito wa ulimi na taya unaweza kushuka nyuma kidogo na kufanya hewa ipite kwa shida zaidi.

Ubongo wako hugundua mabadiliko hayo hata kama hauamki kabisa.
Wakati huo huo, unapokuwa kwenye usingizi wa REM (kipindi ambacho ndoto nyingi hutokea), ubongo huwa unaendelea kufanya kazi kwa nguvu, lakini mwili unakuwa umepooza kwa muda ili usifanye vitendo unavyoota.( sleeping paralysis).

Ikiwa unapumua kwa shida kidogo au ubongo unaanza kuamka wakati huo,
ubongo huchukua hisia za mwili na kuzigeuza kuwa sehemu ya ndoto.

Ukihisi hewa haitoshi, unaweza kuota unazama au unakabwa.

Ukihisi mwili hauwezi kusogea, unaweza kuota umefungwa au kuna kitu kinakubana.

Ndoto hizo huwa zinaonekana halisi sana kwa sababu ubongo uko karibu na hali ya kuamka.

Hali hii hutokea kwa baadhi ya watu na sio wote.
Asante min -me.
Hiyo sleeping paralyis.... Mbona kama sina, maana juzijuzi.....
 
Mimi Huwa silali chali, nikilala basi azima niote ndoto nyingine nzuri nyingine mbaya bas imaldi tafulani
Kumbe! lipo kwa watu wengi hili tatizo... lakini mbona wagonjwa wengi hasa waliolazwa hua wanalala chali?
 
Hii ni zaidi ya mara 5 mpaka sasa, kila nikilala chali.

Mara ya kwanza ilinitokea usiku around saa tisa wakati nimelala nikadhani labda ndoto, nikahisi kichwa kimekuwa kizito mpaka kinauvuta mwili wote kuelekea chini, nikashituka that moment nikahisi kizunguzungu na degedege nikapoteza balance ya mwili. Baada ya kama sekunde 5 au 3 ndio nikawa sawa.

Nikalala ubavu maana sikuweka moto kichwani nililala kichwa kimeinama kwa nyuma.

Siku nyingine tena ikawa the same baada ya kushituka nikahisi labda ndoto tu, nikalala tena chali hata dk 5 bado ikajiludia tena hiyo hali, eh!

Nikahisi huenda kuna tubibi tunanichezea ikabidi ni sali, nikalala kwa ubavu. Safari hii mambo ya kawa safiii.

Vp wewe umeshakutana na hiyo hali? Au brain yangu ina matatizo maana hua nahisi kichwa kizito nikilala chali.
Penda kujifunza katika hali yoyote yenye hatali maana ndio yenye mafanikio makubwa.

Wana uchumi huwa wanasema the higher the risk the higher the profit
 
Unapolala chali, uzito wa ulimi na taya unaweza kushuka nyuma kidogo na kufanya hewa ipite kwa shida zaidi.

Ubongo wako hugundua mabadiliko hayo hata kama hauamki kabisa.
Wakati huo huo, unapokuwa kwenye usingizi wa REM (kipindi ambacho ndoto nyingi hutokea), ubongo huwa unaendelea kufanya kazi kwa nguvu, lakini mwili unakuwa umepooza kwa muda ili usifanye vitendo unavyoota.( sleeping paralysis).

Ikiwa unapumua kwa shida kidogo au ubongo unaanza kuamka wakati huo,
ubongo huchukua hisia za mwili na kuzigeuza kuwa sehemu ya ndoto.

Ukihisi hewa haitoshi, unaweza kuota unazama au unakabwa.

Ukihisi mwili hauwezi kusogea, unaweza kuota umefungwa au kuna kitu kinakubana.

Ndoto hizo huwa zinaonekana halisi sana kwa sababu ubongo uko karibu na hali ya kuamka.

Hali hii hutokea kwa baadhi ya watu na sio wote.
Niliwahi kupewa hii elimu na daktari. Yaani mie nikilala chali ni kisanga, maruweruwe tupu.
 
Hii ni zaidi ya mara 5 mpaka sasa, kila nikilala chali.

Mara ya kwanza ilinitokea usiku around saa tisa wakati nimelala nikadhani labda ndoto, nikahisi kichwa kimekuwa kizito mpaka kinauvuta mwili wote kuelekea chini, nikashituka that moment nikahisi kizunguzungu na degedege nikapoteza balance ya mwili. Baada ya kama sekunde 5 au 3 ndio nikawa sawa.

Nikalala ubavu maana sikuweka moto kichwani nililala kichwa kimeinama kwa nyuma.

Siku nyingine tena ikawa the same baada ya kushituka nikahisi labda ndoto tu, nikalala tena chali hata dk 5 bado ikajiludia tena hiyo hali, eh!

Nikahisi huenda kuna tubibi tunanichezea ikabidi ni sali, nikalala kwa ubavu. Safari hii mambo ya kawa safiii.

Vp wewe umeshakutana na hiyo hali? Au brain yangu ina matatizo maana hua nahisi kichwa kizito nikilala chali.
Inawezekana unapumua kwa mdomo/koo unapolala, na pengine ukilala chali, ulimi unashuka na kuziba njia ya hewa, ndio unaishia kwenye maluweluwe ya mfumo wa mwili kukosa hewa. Hakuna bibi wala babu hapo.
 
Sawa mkuu!
 
Niliwahi kupewa hii elimu na daktari. Yaani mie nikilala chali ni kisanga, maruweruwe tupu.
dah! yani ni hatari sema wengine kupata usingizi mpaka tulale style kama zote!
 
Unapolala chali, uzito wa ulimi na taya unaweza kushuka nyuma kidogo na kufanya hewa ipite kwa shida zaidi.

Ubongo wako hugundua mabadiliko hayo hata kama hauamki kabisa.
Wakati huo huo, unapokuwa kwenye usingizi wa REM (kipindi ambacho ndoto nyingi hutokea), ubongo huwa unaendelea kufanya kazi kwa nguvu, lakini mwili unakuwa umepooza kwa muda ili usifanye vitendo unavyoota.( sleeping paralysis).

Ikiwa unapumua kwa shida kidogo au ubongo unaanza kuamka wakati huo,
ubongo huchukua hisia za mwili na kuzigeuza kuwa sehemu ya ndoto.

Ukihisi hewa haitoshi, unaweza kuota unazama au unakabwa.

Ukihisi mwili hauwezi kusogea, unaweza kuota umefungwa au kuna kitu kinakubana.

Ndoto hizo huwa zinaonekana halisi sana kwa sababu ubongo uko karibu na hali ya kuamka.

Hali hii hutokea kwa baadhi ya watu na sio wote.
Kwa Udhamini Wa AI, Jb Zur.
 
Back
Top Bottom