Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 1,631
- 2,954
Jamaa karudi na milioni 80 nyumbani, kiunoni ana bastola lakini kakuta majambazi wameshafika kwake tena wapo chumbani na mkewe wameshamfunga kamba na plasta mdomoni. Jamaa kaingia na begi lake kapigwa kisu cha Moyo kafa Jamaa wakachukua pesa wakasepa.
Polisi kufika na taratibu zao, walipoanza kusearch wanakuta pesa zingine zipo kwenye ndoo ya maji zimejaa, zingine zipo juu ya dari zingine kwenye begi, eti hadi kwenye kabati la nguo. Ina maana huyu Jamaa anabifu na bank au haziamini?
Kiukweli mimi hata laki mbili sikai nayo cash achilia mbali millions.
TUBADILIKE!