Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,560
- 7,914
Unakuta mbaba mtu mzima naye anakaa heti mama mama mama msituletee ujinga na umama kwenye vitu msingi.
Ulekeo wa umama mnaofanya hauna msingi wowote bali ni ujinga na upumbavu mbona mlikuwa amumuiti mama akiwa makamu wa rais.
Kwahiyo mnampenda samia kweli au mnataka vyeo na rushwa ? ukiona mtu sijui mama mama hujue ni mtu wa dili na rushwa sio kingine.