Fala yule2po mkuu ila nasikia ndalichako alishamtumbuaga
Amesomea kodi zetu huyu hata kwayu hamjui wala mchwa mpakaUwe unaamkia baba zako humu!
Lomwe secondary 1986 hadi 1989
Box 2. Songea boys
Ukitaja jina hili nakumbuka 1987 kidato cha pili huzami kwenye paper ya form two kama huna kadi ya umoja wa vijana yachama na kuna mtu yupo mlangoni kama huna kadi unauziwa iliniuma sana hela yangu sh.600/=Lumumba
Dom 1; then uko uwanjani unaelekea msitu wa ndov.Njoss
way back 2009mwaka gani Kigo boys ndugu
Waliobebaga boxUwe unaamkia baba zako humu!
Kikosi gani taja namba,na op gani
Ndio maana nkamwambia ataje kikosi namba ngapi na op gani? Akishindwa kabisa ataje jina la mzabuniWizi mtupu,
JKT gani ya hivyo!?
Walikua wanafanya vile kupunguza mihemko ya miogo ya jang'ombeBoarding school, hapo bado kabichi au mchicha wenye mafuta ya taa balaa tupu