Inaonyesha ni dhairi shairi Hujasoma boarding za kibishi, huo nakumbuka ndio ilikua menyu yetu shuleGerezani
Nimesoma kwa mshangao hapo kwenye mafuta nikashangaa kumbe ya taa! huo ndio ukweli basi hafusu ya hicho chakula ikikupiga puani acha tu.Boarding school, hapo bado kabichi au mchicha wenye mafuta ya taa balaa tupu
Makongo High School.
Boarding school, hapo bado kabichi au mchicha wenye mafuta ya taa balaa tupu