Unakumbuka wapi katika picha hii.

Unakumbuka wapi katika picha hii.

Nakumbuka kigonsera sec school
Mzee hiyo inaitwa kaigo banaa. Mie nilikuwa hapo 1984-1987. Na tuna group letu la wana kaigo na liko strong sana kwenye kujumuika pamoja kwenye shida na raha
 
027ca3e13b367178cbf44099aae19517.jpg
Hii inanikumbusha JKT 1990/91, usawa wa gudulia. Kambi Oljoro. Kitu inaitwa angle.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom