Unakumbuka wapi katika picha hii.

Unakumbuka wapi katika picha hii.

Maisha ya Boarding 2009 - 2010 Wakati namaliza Advance.

Nilikuwa sipendi kuchanganya ugali na mboga. Nilikuwa na bakuri 2
Siku moja mshikaji akamix alafu nina njaa!!!! Dah! Nilichukia mno
 
027ca3e13b367178cbf44099aae19517.jpg
inanikumbusha Form 1.. maisha ya boarding
 
Inanikumbusha... pugu boys... nikiwa mapinduzi 1... da kitambo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom