mkaamweusi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2013
- 618
- 828
Kwanza ugali wenyewe hauwi mzuri hivo,we!..uepushwe na hilo
Kwanza ugali wenyewe hauwi mzuri hivo,we!..uepushwe na hilo
Vyuma vimekazaa balaaaBording school!
Duh.
Tabu yote ile lakini mpaka sasa bado vyuma vime-------.
No sweat.
Bila shaka umesoma mwakaleli broLyamungo
Hapana mkuu lyamungo sekondariBila shaka umesoma mwakaleli bro
Duuuh.....sawa, ndo 'A' level ya mchanganyiko au boys tupu?2012-2014 PCB
Kumbe mpo vijana wa ngozie..mm ni wa 2010-2012 azaboy PCB2012-2014 PCB
MestiniBoarding hii, ila mimi nakumbuka kwa enzi zetu zile bakuli za bati, nimeyasahau hadi majina, sijui PAN.
Wizi mtupu,
2po mkuu ila nasikia ndalichako alishamtumbuagaKumbe mpo vijana wa ngozie..mm ni wa 2010-2012 azaboy PCB
mwaka gani Kigo boys nduguNakumbuka kigonsera sec school