Wale waliokuwepo Iringa miaka 80 kuna jamaa aliogopeka sana kwa tuhuma hizo alikuwa akifahamika kama Sekeni
Yeah !nyonya damu,vibwengo,chunusi!mbona tulifedheheka watundu wa miaka hiyo -yaani ukipigwa pini hiyo hujiulizi marambili wala hutaki ushahidi unatoka balu tu!
Issue ya nyonyadamu mpaka leo na utu uzima wangu baba wake mtu bado NAOGOPA! Kila nikiwaza hivi natetemeka sababu ile picha niliyokuwa napata kipindi kile balaa.
Kuna siku ilipita combi yenye king'ora karibu na primary skuli daaaaaah hakubaki mtu shule. Nilijikuta niko home.
Pia ukitaka shule ifungwe we sema Tambaza wanakuja!
Na ulikuwa ukikimbia unaambiwa usiangalie nyuma, kioo kitakuvuta. Basi dah ni mbio tu mpaka nyumbani kitandani.
Heheheheh usinikumbushe
Wakati niko darasa la pili
Kida lilikuja gari jekundu sijui nani akatangaza kuwa ni la wanyonya damu
Ilikuwa patashika shule nzima
Hahahaaaa.....Ware wa kure kwetu enzi za primary, ilikuwa inasemekana kuwa kuna watu wanaiba watoto na kwenda kutoa KAFARA migodin...
Enzi hizo alivuma mzee mmoja kwa jina MALEMBERA ambaye alikuwa anamiliki mashimo kadhaa ya Dhahabu NYAMONGO, Sasa wakawa wanasema huyo mzee alikuwa akipiga hizo issue....Basi mtoto ukitishiwa tu... "Malembera huyo yuaja...mbiooooooo, au hata kama kuna kitu umezuiwa kufanya hutofanya ukihofia utapelekwa kwa huyo Mzee.....
Aione: Think pad, Mwita Maranya na platozoom...
Umeona ee!
Shule ilikuwa ina raha ile.
Akina Babu Jing.a, Masudi, Mussa muuza chips na Sun-vita.
Unapakumbuka Snow-Cream?
Sa hvi imehamishiwa Upanga,near Upanga Pharmacy.
Hahahahaha umenikumbusha mbali sana . Nimewahi kujiuliza hivi kwanini tulikua tunatishwa vile lol.Mama alikuwa ananiuliza hao wanyonya damu,wanakuja kila siku maana ata kama kuna mwalimu mlangu autoshi tunavyokimbia..watoto wetu haya mambo wanayakosa mbona...
Pia unakumbuka ukimuona mlemavu ngozi kwa mbali unatemea mate kifuaniUmenikumbusha mbali. Kuna siku tulikuwa tunachezea kwa jirani, mara mmoja wetu akasema wanyonya damu hao.. Basi tulikimbia mbio mmoja wetu alikanyaga ndizi sukari iliyoiva alikula mweleka wa nguvu na hakuna aliyemjali, kila mmoja alikimbia kuokoa maisha yake. Kesho yake ndo tukaja kuambiwa kumbe aliumia vibaya. Nilijua hiyo ishu ilikuwa ni kwetu tu kumbe ilikuwa ni nchi nzima??? Sijui nani alikuwa akisambaza hii propaganda.
Hahahahahahahaha yaani ukiona gari nyeupe inaendeshwa pole pole karibu na eneo la shule halafu atokee mtu aseme mkiwa darasani kwamba gari ya wanyonya damu aka mumiani ileee alikua habaki mtu hapo.Yeah !nyonya damu,vibwengo,chunusi!mbona tulifedheheka watundu wa miaka hiyo -yaani ukipigwa pini hiyo hujiulizi marambili wala hutaki ushahidi unatoka balu tu!
Rest in Peace my "fiancee wa kitoto toto....Mary Abonike,nikikumbuka haya mambo ya chinjachinja sijui nyonya damu namkumbuka sana Mary wangu,1991 tukiwa Mwadui A Primary School,tunapita pembezeni mwa barabara ya boidi,mara mwanafunzi mmoja akatushitua kuwa mnyonya damu wa kijiji cha Utemini anakuja...katika harakati za kukimbia tukajichomeka kwenye barabar...Gari aina ya Peugot ukatupitia...nilivunjika mkono na mguu...lakini mwenzangu Mary alifia Hospitali ya Misheni pale Mipa...
Alikuwa jirani na "mchumba" wangu wa kombolela na mchezo wa chekecha...darasani hadi kanisani pamoja..tukapewa kipaimara na Askofu Castor Sekwa(R.I.P) Parokia ya Msalaba Mtakatifu-Mwadui...sijawahi kumsahau wala kulisahau tukio la kumkimbia Mnyonya damu...picha za kipaimara na mazishi ninazo...hunipa kumbukumbu ya rafiki wa utotoni niliompoteza kwa vitisho ambavyo leo nakuja kujua havikuwepo....R.I.P MARY ABONIKE
Haha nawakumbuka..masudi kaniozesha meno sitosahau nikifika tu getin ni chocolate na biscut..chips za mausa pia...haha me nilikua napendaje shingo zao za kukaanga...chips ndani ya mfuko wa karatas mweupe .snow cream yap naikumbuka..umesahau tahfif tunaenda nunua kalamu..vifuto..pen za kubonyeza na kunukia aiseee mpk leo ipo pale palee...yn tulienjoy jaman...yn km umjini watu tumeufaidi haswaaa
Na ulikuwa ukikimbia unaambiwa usiangalie nyuma, kioo kitakuvuta. Basi dah ni mbio tu mpaka nyumbani kitandani.