Ablessed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 4,616
- 3,502
Hapana ilikuwepo mifuko ya nailoni lbd kama nimekosea jina lkn ilikuwepo hapo nazungumzia miaka ya 82-89 hapo katikati sikumbuki ilianza kuwepo mwaka gani hasa tena ilikua ya blue hivi.Ablessed, hapo kwa red umechapia! Enzi hizo, mifuko ya rambo haikuwepo, ilikuwepo mifuko ya karatasi pia mifuko ya nguo, kitambaa cha khaki-ngumu.