Hii...thread imenikumbusha mbali sana.....life ilkuwa fun ukikumbuka vizuri....mmesahau ishu za majini au mashetani chooni..duh nakumbuka drs la 4 au la 5 dogo mmoja kaenda chooni cjui kapanda kwenye nini huko ndan akatokezea kwa juu tu manyoa ya kuku....na choo cha shule kilovokuwa kirefu na akijaezekwa basi mmoja kasema tuko drsn oneni jini lile we we wew na zamani tulikuwa tunakalia tofari..darasa full vumbi no wavu dirishani.....shule ilitawnyika kila mtu kwao......acha tu...hiz shule zetu za uswazi wa Ukombozi pr manzese, sinza mihogoni, uzuri, tandale mtakumbuka sana matukio ya majini....
kuna siku drs la 5 sitahsahu ktk shule yangu ya UKOMBOZI pale tulikuwa na Mwl wa Engilsh anaitwa Mollel huyu mama ni masai,,alikuwa anachapa tena ovyo ovyo...akatkutana na mziki wa mtoto wa uswahilini hapendi english yake....wakt anakagua daftar kama mtu ajafanya kaz yako fimbo hapo hapo kila mahali ktk mwili,,sitomsahu kuna mwanafunzi alidai ana mashetan akamwambia mwl mm sipigwi kichwani....mwl akakiaid alipofka kwake...duh akamchapa na bahti mbya akamgonga kichwan..... dogo aktulia km dk 10 hivi..duh mama molel karud kukaa tu...dogo kainuka taratibu kufika pale kwa mwl..duh dogo katoa macho na sauti kubwa RAHAAABI RAHAABIB....wee...sisi tena vierere tumelizua mlango mdogo kapndsha mashetan mwl mbio ofisn dogo anafmufuata...shule taahruku na karibu shule nzima ikakimbilia kwao kwa mama yake kupeleka umbea...mwanao kachapwa kichwan kapandisha mashetan mama nae kibwe kibwe hicho.....ule mziki ulikiwa si wa ktoto.....dogo siku hizi nasikia mganga maarufu sana.....sitohasau...alikuwa rafik yangu basi nilimuogopa sana tangu siku ile.......
shule ziku hizi hakuna hata Profesor singila anakuja na uchawi wa? duniaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa