Unakumbuka nini ukiona hii

Unakumbuka nini ukiona hii

ImageUploadedByJamiiForums1360214765.506377.jpg
This is the real sh.t!!
 
Me nakumbuka kipindi cha mama na mwana kilikuwa mchana mara nyingi wakati huo nilikuwa nawait chakula, na mother yuko jikon anapika.

Mahokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa jamani mbavu zangu mie hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mama yangu we ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa a!
 
National Memory Q. Zimetengenezwa hapa hapa Dae Es Salaam na vijana waliomaliza mafunzo VETA pale Matsushita
 
There are currently 5 users
browsing this thread. (5 members
and 0 guests)
Baba V , ammah, infantrier , Lily Flower, sakapal


Kumbe huwa inatokea!??, nshazoea kuona idadi ya guests kuzidi ya members
 
We we we, acha kabisa hiyo kitu ilikuwa imeandikwa dudu proof, asikwambie mtu aisee

Tuliokulia bush, hapo kinapigwa Simba na yanga watu wameizunguka hiyo kitu...kimyaaa. Siku moja kabla ya mtanage, betrii zinatolewa zinabondwabondwa afu zinaanikwa batini!!
 
arican woman fela kuti ranson.. 'shii go see i m lady oh'
 
rudi nyuma kidogo kulikuwa nz memory Q.
nakumbuka 1983 mzee aliinunua kijiji kizima kilihamia kwetu.
 
Baadae zilikuja betri za "Tiger", nyekundu hivi... hahahaaa... zilikuwa zinauzwa 100 kama sikosei... Ila National za green ndo zilikuwa mpango mzimaaaa

Hizo betri za 'National Special' enzi hizo zilikuwa ni adimu sana, hivyo zikiisha nguvu zilikuwa zinachemshwa au kuanikwa juani ili kuzi-charge.
Ukishazichemsha zinapata nguvu kama mpya kabisa.
Tumetoka mbali saaaana !!! ....
 
enzi hizo TTCL ipo juu acha..kulikuwa na kipindi TRD kinaitwa TTCL SIMU NA MAENDELEO...na kale kamziki kake...wacha kabisa...afu nakumbuka hii...

...mshindi sabuni mpyaa yenye nguuuvuuu...
...yenye kutakasa kuliko zoooteee...
......mshindiii eeeeehheeeee...

afu kulikuwa na ..
..lucky;s tembo safety...na kangaruuu..
...viberiti boraaa..vya hali ya juuu...
.....vimetengenezwa hapa tanzania...
.....kwa viwango bora ...vya kimataifa....
unapoviwasha ..huwaka mara mojaaa...
....na muwasho wake ...ni wa muda mrefuuu..
...na kaasha lake..limekaa vizuri..(not sure about this line)
...tunza pesa zako...na kaangaruu...


yaani haya matangazo yalikuwa yananikosha sana....
 
Baada ya kuiona hiyo nimekumbuka kipindi hicho cha miaka ya tisini cha UMOJA WA MICHEZO KWA SHULE ZA MSINGI TANZANIA maarufu kama UMISHUMTA baadae ikawa UMITASHUMITA,Hizo redio zilikuwa zinatumika sana kurekodia nyimbo za kwaya za shule fulani inapoingia uwanjani kuimba huku wakaguzi wakizungukazunguka kugagua vigezo ili kuwapa maksi,pia zilikuwa na vi mic vidogo vya wireless yaani ilikuwa full burudani.
 
Nakumbuka bendi ya Toma Toma na wimbo wao wa "Kila siku mke wangu unarudi nyumbani macho yau yau"
 
enzi hizo TTCL ipo juu acha..kulikuwa na kipindi TRD kinaitwa TTCL SIMU NA MAENDELEO...na kale kamziki kake...wacha kabisa...afu nakumbuka hii...

...mshindi sabuni mpyaa yenye nguuuvuuu...
...yenye kutakasa kuliko zoooteee...
......mshindiii eeeeehheeeee...

afu kulikuwa na ..
..lucky;s tembo safety...na kangaruuu..
...viberiti boraaa..vya hali ya juuu...
.....vimetengenezwa hapa tanzania...
.....kwa viwango bora ...vya kimataifa....
unapoviwasha ..huwaka mara mojaaa...
....na muwasho wake ...ni wa muda mrefuuu..
...na kaasha lake..limekaa vizuri..(not sure about this line)
...tunza pesa zako...na kaangaruu...


yaani haya matangazo yalikuwa yananikosha sana....

Asee nimekumbuka mbali....

Pia lile tangazo la Kiwi....
Hebu jitokeeeze , simama, jionyeshe,mbele za watu....Naenda kupata mnara wa kipekee.....Ahhhh nakumbuka mbalu...

Bull shit siku hizi ni mambo ya dume condom tuuu...mbafu...
 
nakumbuka kichapo...
niliibaga nikaenda kuchungia mbuz..uku naskliza.... kijjn kwa babu
 
enzi hizo kulikua na vitu vya kina Nguashi Ntimbo na orchestra vestival du zaire: Shauri yako.

Shauri Yako by Nguashi Ntimbo, orch Festival du Zaire / original - YouTube

Sam mangwana: maria tebo:

Sam Mangwana_ Maria Tebbo - YouTube

Tabu Ley: Maze:

Rochereau Tabu ley - Maze. - YouTube

Unaniumicha kaka...
Hvi vitu waaacha kabisa..mpongo love kitu ndaya,maseke ya meme ya Bavon marie-marie...weeeee ..abisina ya nyiboma..waaacha..alafu kuna zike nyimbo za Ntombi na Mafura...yapapaaa marafura...
 
sisi wa mapakan Na kenya KBC ndio kila kitu akina leonard mambo mbotela, marehemu bill omala,ally sali manga,said ally matanu..na mizik ya katitu..musituni boyz band...
 
Back
Top Bottom