Unakumbuka nini ukiona hii

Unakumbuka nini ukiona hii

sita sista angu mkubwa na blues za juddy boucher, sista angu mdogo aliporekodi twaarab za Nasma kidogo akiwa na tot kwenye kanda yangu mpya ya Bob Marley ikiwa ni ktk collection ya kanda kumi na sita nilizokuwa nazo, nyumbani hapakukalika siku hiyo!

Mkuu unanikumbusha rafiki yangu mmoja yake ya Bob ililiwa kwenye tape ikakatika,basi alipoteza siku nzima kuiroll upya kwenye kaseti nyingine !
 
Duh mengi sana wa2 wameshaorodhesha hii mi nakumbuka radio yenyewe ilikuwa inatumia betr 6
betri za Natinal 6 ni 1200 kwa 200@1, af kulikuwa na betri ya kijivu zilikuwa zinaitwa Bello 150 @1 sasa bi mkubwa anakwambia hayo hayana nguvu.
Sasa hapa nakumbuka radio ilikuwa inakaa chumban kwao sasa tulikuwa tunasikiliza usiku tu! Wakat wa kujiandaa kulala ukiona radio inapiga ndan af ni mchana ujue kuna mgeni kaja na kanda inayopga hapo Munishi wimbo Malebo,,
radio inavyokuja seburen ilikuwa inakuja ikiwa imetenganishwa na betri zake eti zinasha nguvu,kuvujia ndan,kuharbu radia n.k


af cha mwisho betri zikiisha nguvu bi mkubwa alikuwa aponda na pandikizo(banio la ugal) af zinawekwa juani, jion ukiweka mambo ok!. Na zikiisha nguvu kabisa zikaanza kukoroma una renew unanunua betri 2 unaweka mbele zili 2 za nyuma unatoa! Aaaa naenjoy sana kukulia uswazi pabarikiwe USwaZi!!!
Tt
 
Me nakumbuka kipindi cha mama na mwana kilikuwa mchana mara nyingi wakati huo nilikuwa nawait chakula, na mother yuko jikon anapika.
Hadithi za ua jekundu... we acha tu.......... Siku hizi mitoto ni kompyuta gemu tu
 
Dah, hii kampuni iliuza sana hizo redio.. Pongezi kwa designer wao (kama bado yupo hai)
 
nakumbuka jamaa vijijini walikuwa wanashindana kuja na hizo redio kipindi cha sikukuu.
 
Nakumbuka siku moja ya mnada. Baba aliuza ngombe moja akanunua hiyo kitu.
 
Nidhamu ya kazi ni msingi, na mafanikio mema kazini, viongozi na wafanyakazi lazima wote wawe na nidhamu. Migogoro, na migongano, ya kazini, ni ukosefu wa nidhamu.( Nimesahau kipindi longtime)

Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe. (Jumapili)

Ajuae bwana Mungu kwa mzima kua mfu mgonjwa kua salama, tunawapa pole. (Ugua pole)

WEE ACHA TU. KULIKUA HAKUNA UKWIMI, WAKUBWA WALIKUA WANAFAIDI TU. Ukibaka unalipa mbuzi tu, hakuna miaka thelathini jela, Yaani we Acha tu.
 
Lile suala la bwana Akajase Mbamba lilinihusu sana kipindi hiki.nilikua nikiisikia hii hadithi lazima usiku niote
 
Namkumbuka babu yangu hapa,hasa mida ya kuanzia jioni na asubuh kuskiza habari
 
namkumbuka yondo sisita!

Bongweeee..eeee.. bongwe..ng'ombe mzima

Mayaula Mayone ni rafiki yake na bongwe....ng'ombe mzima.

Halafu walikuwepo waimba taarab wanaitwa Malika wananiangushia kibao saaaafi kinaitwa Zumbukuku
 
kumekucha sasa kumekucha, majogoo vijijini wanawika hata na jua mbinguni linatokaa, wazalendo amkeni tufanye kazi sasa! mikingamoooooo!
 
Nidhamu ya kazi ni msingi, na mafanikio mema kazini, viongozi na wafanyakazi lazima wote wawe na nidhamu. Migogoro, na migongano, ya kazini, ni ukosefu wa nidhamu.( Nimesahau kipindi longtime)

Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe. (Jumapili)

Ajuae bwana Mungu kwa mzima kua mfu mgonjwa kua salama, tunawapa pole. (Ugua pole)

WEE ACHA TU. KULIKUA HAKUNA UKWIMI, WAKUBWA WALIKUA WANAFAIDI TU. Ukibaka unalipa mbuzi tu, hakuna miaka thelathini jela, Yaani we Acha tu.

Kwenye kubaka hapo, dah!
 
mmesahahu majira na kombora na kila j1 kipindi cha salam za wagonjwa mahospitalini pamoja na kipindi cha chakula bora

mchezo wa redio je??

Hahahahahaaa... Mzee Jangaraaaa... Hivi yupo huyu mzee?!!
 
Duh mengi sana wa2 wameshaorodhesha hii mi nakumbuka radio yenyewe ilikuwa inatumia betr 6
betri za Natinal 6 ni 1200 kwa 200@1, af kulikuwa na betri ya kijivu zilikuwa zinaitwa Bello 150 @1 sasa bi mkubwa anakwambia hayo hayana nguvu.
Sasa hapa nakumbuka radio ilikuwa inakaa chumban kwao sasa tulikuwa tunasikiliza usiku tu! Wakat wa kujiandaa kulala ukiona radio inapiga ndan af ni mchana ujue kuna mgeni kaja na kanda inayopga hapo Munishi wimbo Malebo,,
radio inavyokuja seburen ilikuwa inakuja ikiwa imetenganishwa na betri zake eti zinasha nguvu,kuvujia ndan,kuharbu radia n.k


af cha mwisho betri zikiisha nguvu bi mkubwa alikuwa aponda na pandikizo(banio la ugal) af zinawekwa juani, jion ukiweka mambo ok!. Na zikiisha nguvu kabisa zikaanza kukoroma una renew unanunua betri 2 unaweka mbele zili 2 za nyuma unatoa! Aaaa naenjoy sana kukulia uswazi pabarikiwe USwaZi!!!
Tt

Baadae zilikuja betri za "Tiger", nyekundu hivi... hahahaaa... zilikuwa zinauzwa 100 kama sikosei... Ila National za green ndo zilikuwa mpango mzimaaaa
 
Me nakumbuka kipindi cha mama na mwana kilikuwa mchana mara nyingi wakati huo nilikuwa nawait chakula, na mother yuko jikon anapika.

wakati wa vipindi ambavyo hatuvipendi tulikuwa tunarekodi nyimbo kwa tape za zamani na kujirekodi wenyewe tukiongea. Mie wakati mama na mwana inaanza tuikuwa tushakula na meza tushafuta na vyombo tushaosha kimyaa wote mezani hamna hata mtu kukohoa. Mtaa mzima watoto huwaoni barabarani kila mtu kwao kusikiliza kipindi wale wasiokuwa na redio kwao walikuwa wanenda madirishani mwa watu kusikiliza. Yaani ilikuwa safi sana.
 
Back
Top Bottom