Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,625
- 38,751
Ilikua mida ya asubuhi live ndani ya azam 2,
Ni miaka mitatu imepita sasa
Ni miaka mitatu imepita sasa
Nakumbuka kuwa tulipata chuma
HahahahaaKipimo cha Malofa ni 40%
Rekebisha kichwa cha habari kuna neno linapaswa kusomeka chart
Halirekebishiki tena,nililiona lakin ndio too lateRekebisha kichwa cha habari kuna neno linapaswa kusomeka chart
Ben aliponzwa na mdomo wake[emoji41]Namkumbuka Ben saanane
Vyama vingine kama ACT, CHAUMA na vinginevyo kwa pamoja viliambulia 1%58+40+1=99
1%iliyobakia imeenda wapi?
ubabaishaji..
anna mghirwa si ni wa ACT hujaona hapo kapata 1, kwanini useme kapata moja tena kwenye kundi lingineVyama vingine kama ACT, CHAUMA na vinginevyo kwa pamoja viliambulia 1%