Unakumbuka nini enzi ulipokuwa msingi?

Unakumbuka nini enzi ulipokuwa msingi?

Nakumbuka nilivyosahau barua kwenye daftari alafu barua imechorwa lov lov na tumkuki katikat..alafu nikakusanya nilichapwa mie sitasahau..
 
nakumbuka juisi za sunvita! na hadithi ile ya nchi ya wagagagigikoko!
 
Watoto wa kishua wanavaa (LAKUCHUMPA) raba zenye shingo. Kuna demu alikuja na begi la.mgongoni lenye saa ya mshale kwa mbele, tukajua ndani lazima kuna sebule.
 
NAKUMBUKA enzi za chabo la vio aloo nilikuwa nimekubuu,pia nakumbuka nilikuwa na wakula wadada kinguo nguo lakwanza afu kesho najigamba flani demu wangu....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom