hahahahahahaha
kumbe hupo? Nilidhani ume........
Tuanze na salamu basi kaka..najua bado unaniogopa
ila usijali lile deni ninalokudai nimeshakusamehe..
Hakuna lolote humdai mtu hapa!
Mzima lakini?
Jamani mbona hatujaachana?
Alaaaaaaaaaa,kumbe ni hivyooooooooooooo,
haya bana nihesabie basi anakula matonge mangapi
ya ndizi jioni ya leo umjibu mtoa mada hapo juu..
aiseee! ivi hawa kina chilli na tedo nao ndo inakuaje hapa tena!
Mpenzi.
Luv UUUU....!!!
aiseee! ivi hawa kina chilli na tedo nao ndo inakuaje hapa tena!
hvi ukila huo huwa unashba? Najua kuwa we unapga zaid hata ya hyo
my lawyer @ Ruttashobolwa mie sio kimodo... picha yanvu hiyoooo!!!! nakula haswaaaaa.....
![]()
siku hzi huna tgo? Mi nipo mitaa ya Ilala. Bdaye ntaenda ktaa. Ntakutafuta.mia