unakula matonge au vijiko vingapi ili ushibe??

unakula matonge au vijiko vingapi ili ushibe??

Nikishakula ugali ndo najazia na chips mayai sahani 4.
chips.JPG
 
ukubwa wa tonge moja ni cubic centimeter ngapi au ni gramu ngapi?

matonge ya mtu mzima yaani tonge linalo jaa kiganja changu. wewe ukipiga pasi ndefu walaje yahe?. mia
 
Mbona tgo yako haipatikani?

mimi sina tigo au unasema namba ya simu?. nipigie kwa voda. lakini baadae jioni ntakua hewani mkuu. vipi upo mtaani kwetu nije? kama vipi baadae njoo maeneo ya ccm, siku hizi kuna urojo!. mia
 
mimi sina tigo au unasema namba ya simu?. nipigie kwa voda. lakini baadae jioni ntakua hewani mkuu. vipi upo mtaani kwetu nije? kama vipi baadae njoo maeneo ya ccm, siku hizi kuna urojo!. mia

siku hzi huna tgo? Mi nipo mitaa ya Ilala. Bdaye ntaenda ktaa. Ntakutafuta.mia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom