figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,175
- 64,552
Ulishawahi kuhesabu ni matonge mangapi yanakufanya ushibe?. kama umepiga pasi ndefu halafu ukapata ugali utapiga matonge mangapi ya nguvu?. mimi huwa napiga matonge 18. hakuna baunsa wa njaa hii inamanisha kila mtu anakula. tupe maujanja yako katika kula. Uongee ukweli kwani haufungwi. mia