Masanjehalima
Member
- Oct 20, 2018
- 76
- 87
Unaacha Kuxkia La Mkuu Mguu Unaota Tende Hadi Unakufa
hahaha we jamaa umetishaUnaoga na sabuni ya rungu, inakupiga kichwani unavuja damu Unakufa
Afu kuna mud kafa ununio Judi tyuUnalala mwenyewe kitandani unashikwa na ngiri unakufa