Numao
Member
- Aug 7, 2018
- 36
- 42
Inaingia msg umeshinda biko 200m unaruka juu kwa furaha feni inakukata shingo unakufa![]()

Inaingia msg umeshinda biko 200m unaruka juu kwa furaha feni inakukata shingo unakufa![]()

umetisha sanaUnaweka mate inateleza inakugusa mpaka kwenye maini ynapasuka unakufa
tisha sanaaUnaenda huko insane ... Unakufa
Kwan insane ni wap mkuu tujuze tupajue
Ule upuuzi wa umama uli trend sana saivi taratiibu unakufa
Unaona unachekesha kama chizi unazba mdomo sauti isitoke unakosa pumzi UnakufaUnasoma reply za watu Kwenye huu uzi zinakuchekesha sana midomo inachanika unakufa
Unaona unachekesha kama chizi unazba mdomo sauti isitoke unakosa pumzi Unakufa





hatari kiongozi










Unasema mwanzilishi wa thread anakufa unamuona mzima unapata na mshtuko UnakufaUnaanzisha thread ya kufa afu kesho yake unakufa