Unakufa Thread

Unakufa Thread

1540357594251.png
 
Unaamua kuoga Kwanza ndo ule unaanguka chooni unakufa na njaa unakosa nguvu ya kwenda mbinguni
 
Unakutana na ID JF unakwenda pm unaomba number unatongoza unatumiwa na pic mnapanga kuonana unakwenda kuonana nae unachokiona sicho ulichokitarajia na unapanda presha unakufaaaa.
 
Unajifanya hupendi kushikwa shikwa mara paaap unashikwa na Homa Unakufa
 
Unaumwa halafu unapost eti "Sick at Aga Khan Hospital" Mungu anatuma malaika anakutafuta Aga Khani nzima akuponye anakukosa'Kumbe upo Mwanymala hospital, Unazidiwa unakufa!
 
Back
Top Bottom