Savage Dad
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 1,388
- 2,611
Unapenda vya bure,unanunuliwa za bure unazibugia unakufa.
Unaoga na sabuni ya rungu,inakupiga kichwani unavuja damu UNAKUFA..😃😃😃
Unakula chips kwa kutumia stick, inakuchoma koo unakufaUnaoga na sabuni ya rungu,inakupiga kichwani unavuja damu UNAKUFA..![]()
Naona unataka kuntisha sasa nisile chips leo..😁😁😁Unakula chips kwa kutumia stick, inakuchoma koo unakufa
Ukiacha kula chips unabanwa na njaa kali unakufaNaona unataka kuntisha sasa nisile chips leo..![]()
Mfyuuuuu😂😂😂😂Ukiacha kula chips unabanwa na njaa kali unakufa
We jamaa sio mzima..hahahahahaUnatembea haraka haraka unajikwaa unapiga pumbu chini zinapasuka unakufa